Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,940
- 4,013
Hiyo haipo asee
Ha ha ha haaaa. NA KARUMIkirengeza kuonesha UseriousUnajua maana ya master/visa?
Yaani unaongea ni kizungu kabisa kutia msisitizo wa swali! very gooooood👍Why you put crdb to nmb...? Or you can get services from different banks...?
Sasa wategemea servicing ya hizo ATMs itafanyika vipi?Kuna haja pia benki zetu waondoe gharama za kutumia ATM ya benki nyingine hasa pale unapojaribu kutumia benki yako ukakumbana na tatizo. Huwezi kushindwa kunipa huduma halafu bado ukafaidika kwa mapato ya ziada Kwa kunilazimisha kutumia ATM ya benki wenzako. Incentives. Ni misaligned incentives. Wenzetu ATM zililetwa kupungiza gharama za uendeshaji wa benki, pamoja na kuboresha huduma kwa mteja. Sisi tumeifanya chanzo cha mapato.
Duniani wanawezaje? Wengine card zao hata unatumia nje ya nchi husika bila gharamaSasa wategemea servicing ya hizo ATMs itafanyika vipi?
Kuna AC, Walinzi, CIT, ICT etc hivyo vyote ni pesa i.e kila ATM walinzi huhitajika na gharama zao ni 500,000+ kwa kichwa
Thank you so much madqm joannha mwaahYaani unaongea ni kizungu kabisa kutia msisitizo wa swali! very gooooood👍
Umedanganywa na nani?Duniani wanawezaje? Wengine card zao hata unatumia nje ya nchi husika bila gharama
Nimeishi nje ya Tanzania kwa miaka 6 ya maisha ya utu uzima wangu, na kote nilikuwa na akaunti za benki, na kusafiri kwenda nchi nyingine. Nilipokuwepo mara ya mwisho nakumbuka nikijaribu kutoa hela ATM ikawa haina hela au kwa namna yoyote nikakosa huduma, wanatuma message hapo hapo kwamba naweza kutumia ATM ya benki yoyote hadi saa 6 usiku siku hiyo.Umedanganywa na nani?
Hatukutaka jua umekaa wapi na muda gani ila elewa ni uongo huwezi tumia interbank nje ya nchi husika bila kukatwa pesa huo ni uongo.Nimeishi nje ya Tanzania kwa miaka 6 ya maisha ya utu uzima wangu, na kote nilikuwa na akaunti za benki, na kusafiri kwenda nchi nyingine. Nilipokuwepo mara ya mwisho nakumbuka nikijaribu kutoa hela ATM ikawa haina hela au kwa namna yoyote nikakosa huduma, wanatuma message hapo hapo kwamba naweza kutumia ATM ya benki yoyote hadi saa 6 usiku siku hiyo.
Sawa. Niwie radhi sikujua naongea na watu wengi na mlichotaka kujua. Nilichotaka mabenki yajue ni kuna haja waondoe gharama za kutumia ATM za benki wenzao pake ATM zao zinapofeli. Mengine si ya msingi.Hatukutaka jua umekaa wapi na muda gani ila elewa ni uongo huwezi tumia interbank nje ya nchi husika bila kukatwa pesa huo ni uongo.
HeheheheLabda hawana mfumo wa kuverify details zako...
Kuna jamaa kadi yake ya Payoneer ilimezwa, picha linaanza customer care hawaelewi hata Payoneer ni nini, wakajua pengine jamaa ni scammer.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]You know and then you asked??
Sasa waliweka mfumo wa visa wa nini wakati wanajua kwenye Atm kumezwa kwa card ni sehemu ya huduma zilizoko kwenye hizi Atm zao.Hiyo kadi huwezi kupewa kwa sababu hawana mfumo kwa kukuverify kama ni genuine customer