CRDB hii huduma ya Simbanking kama hamjajiandaa iondoeni!

Niko NMB hao niliwakimbia, wafanyakazi wake wanaonaga kama wame win maisha kumbe hamna kitu wananjaa sana
 
Huu ni usumbufu kwa sisi wateja wenu mtu unaamua kufanya huduma kupitia hiyo Simbanking lakini matokeo yake imekua ni kero. Jana nimemtumia mtu hela anasema hajapata nimenunua umeme sipati message. Kama hamjajiandaa si muiondoe tuu. Mnakera sana.
Kimsingi crdb ni kikundi cha wahuni tuu.mimi mwaka juzi nilihangaika na visa card yao hadi nika komaaaa.

Nilishindwa kufanya online payment. Nilihangaika nao mwezi mzima, tawi la mikocheni ni wahuni
 
Mimi sim banking sijui na mambo ya kutumia application huwa situmii. Naona kwetu bado sana. Naogopa sana wezi wa mitandaoni maana huko ndo waliko siku hizi. Na nchini kwetu naona vijana wa Nigeria wanakuja kwa kasi sana.
 
Siyo CRDB tu hata TPB nayo ni chenga kwenye Huduma za Simu, unanunua king’amuzi pesa zimetoka lakini kampuni ya king’amuzi pesa hawajapokea. Ukipiga Simu unaambiwa zitarudi baada ya masaa 24 . Unasubiria wiki nzima pesa hazirudi kwenye account tatizo sijuih ni nini, mpaka unajuta kutumia Huduma za TPB
 
Huu ni usumbufu kwa sisi wateja wenu mtu unaamua kufanya huduma kupitia hiyo Simbanking lakini matokeo yake imekua ni kero. Jana nimemtumia mtu hela anasema hajapata nimenunua umeme sipati message. Kama hamjajiandaa si muiondoe tuu. Mnakera sana.
Hama benki
 
Niko NMB hao niliwakimbia, wafanyakazi wake wanaonaga kama wame win maisha kumbe hamna kitu wananjaa sana
Nmb nao pia wanashida pia mfano hii wiki sasa hapa kibondo na kasulu na nikijaribu kutumia nmb mobile haipatikani
 
Huu ni usumbufu kwa sisi wateja wenu mtu unaamua kufanya huduma kupitia hiyo Simbanking lakini matokeo yake imekua ni kero. Jana nimemtumia mtu hela anasema hajapata nimenunua umeme sipati message. Kama hamjajiandaa si muiondoe tuu. Mnakera sana.
Unatumia ile app yao au ile *150*03#??
 
Huko ndio nilikinbia baada ya kuniibia hela kwenye mkopo wangu karibu milioni 1.6
Karibu EQUITY

Narudia Tena huwezi kulinganisha NMB na CRDB kwa customer satisfaction. Nimekuwa mteja wa hizi bank mbili kitambo!

NMB unaweza ukakosea signature na ukasaidiwa vizuri na hela ukapata ila crdb unaweza ukakosea signature na picha zako wanazo, nida wanayo mpaka fingure print zako wanazo ila husaidiw hata kidogo.

Crdb bado Wana upuuzi ukienda kutafuta ufumbuzi wa shida flani watakwambia nenda mkoani ulipofungulia hiyo account , umeona wapi huo ujinga
 
Hata mimi mpaka sasa ni mteja wa benki zote hizi nmb na CRDB naona wote michosho tuu.
 
Huu ni usumbufu kwa sisi wateja wenu mtu unaamua kufanya huduma kupitia hiyo Simbanking lakini matokeo yake imekua ni kero. Jana nimemtumia mtu hela anasema hajapata nimenunua umeme sipati message. Kama hamjajiandaa si muiondoe tuu. Mnakera sana.
Niliifutaga hii na siitaki tena

nilituma laki tatu

wakasema network mbovu

nitatuma Mara tatu

netwokr mbovu

nikaenda kwenye atm nikatoa pesa

kesho yake zikaja zote

nikatupa line nika re new

waligoma Kuni de register
 
Back
Top Bottom