Nimefanya banking na international banks kwa kweli hawa jamaa wako smart sana ni zile tu hawana branches wilayani na baadhi ya mikoa hakuna branches ila kwa inshu za banking wako njema, Sasa nili shift to Nmb baada ya kuhama mkoa ambao hauna international banks niliyokuwa natumia hao NMB kadi tu ili take kama miezi miwili kuipata Yani unaenda branch hakuna mtu anajali kabisa ni ovyo ovyo