Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,515
- 4,232
Hilo la kufungua account na ATM Card mbona hata NMB ndio hivyo hivyo baada ya wiki, inategemea na account unayofungua Kuna unazopewa hapo hapo na nyingine zinachukua muda
NMB mobile nao Ni mpaka uwe na hela ya vocha kwenye simu na wanaikata
Na wanaikata kwelikweli! Yaani ukiweka 1000 ukiingia tu simbanking inaisha! Kuendelea inabidi uongeze salio! Kama ni makato ya kupata huduma kwanini wasikate moja kwa moja kwenye salio bank kama wafanyavyo mitandao ya simu?Hilo la kufungua account na ATM Card mbona hata NMB ndio hivyo hivyo baada ya wiki, inategemea na account unayofungua Kuna unazopewa hapo hapo na nyingine zinachukua muda
NMB mobile nao Ni mpaka uwe na hela ya vocha kwenye simu na wanaikata
Vipi kuhusu huduma zao mkuu na mimi nihamie huko!CRDB ni tatizo ... NMB ni proble..
Nipo zangu sasa hivi na ABSA maisha yanaenda hawana makato kama hawa mabwenyenye wetu
Ila kuna mitandao ya simu kama tigo unaweza kutumia ATM mobile bila ya kuwa na salio.Hilo la kufungua account na ATM Card mbona hata NMB ndio hivyo hivyo baada ya wiki, inategemea na account unayofungua Kuna unazopewa hapo hapo na nyingine zinachukua muda
NMB mobile nao Ni mpaka uwe na hela ya vocha kwenye simu na wanaikata
Mkuu ni tawi la mjini kabisa CRDB vijana branch pale Lumumba!Mkuu kwanza pole maana wanakupotezea time yako. Labda nikuulize ni wapi huko unaambiwa kupata kadi ya Crdb baada ya wiki. Miaka kama miwili hivi nilifungua Account Crdb nilikamilisha kila kitu ndani ya kama saa 2 tu. Kuanzia kujaza fomu, kupiga picha, kupata bank card na hadi simbanking hapa Arusha.
Hiyo Branch ya Crdb wazembe sana huwezi subiri wiki moja kwa kitu simple kama hicho. Inabidi wabadilike.
ABSA wapo poa kwa nyanja kibao. kwanza huduma zao online zipo powa, hawana makato hata unapotazama salio, card unapewa siku hiyo hiyo na kila kituVipi kuhusu huduma zao mkuu na mimi nihamie huko!
Kwa hili tunafanana mawazo. Kila siku natafakari hilo halafu sauti inaniambia "ACHANA NAO". Siwaelewi CRDB siku Hizi. Kilichobaki kwa sasa ni siku ya KUKATA SHAURI tu.Kikuweli Crdb sio ile ya miaka mitatu iliyopita, credibility yao inashuka kwa kasi wajiangalie
Nimekuwa mteja wao kwa miaka mingi ila naanza kupata wazo la kuwahama
Ila wanayo .. japo sio kivileeMi naona NMB hawana shida kivilee
Azikiwe kwenye hupati card mda huo huo.. labda kama wameanza hivi karibuniMkuu kwanza pole maana wanakupotezea time yako. Labda nikuulize ni wapi huko unaambiwa kupata kadi ya Crdb baada ya wiki. Miaka kama miwili hivi nilifungua Account Crdb nilikamilisha kila kitu ndani ya kama saa 2 tu. Kuanzia kujaza fomu, kupiga picha, kupata bank card na hadi simbanking hapa Arusha.
Hiyo Branch ya Crdb wazembe sana huwezi subiri wiki moja kwa kitu simple kama hicho. Inabidi wabadilike.
Hawa wezi wanakata kote kote.. chunguza tu utaona.. kama unatumia USSD wanalamba salio na wanalamba kwa account .. na kama unaangalia kwa app wanalamba kwenye account kitu ambacho ABSA hawafanyiNa wanaikata kwelikweli! Yaani ukiweka 1000 ukiingia tu simbanking inaisha! Kuendelea inabidi uongeze salio! Kama ni makato ya kupata huduma kwanini wasikate moja kwa moja kwenye salio bank kama wafanyavyo mitandao ya simu?
Ila wabongo vichwa ugoro sana.
Malalamiko na kujilizaliza kama kunguru.
Hivi Nchi hii kuna Bank moja ?
Uteswe Na Monopoly CCM, Magufuli, TANESCO, ATCL, NSSF/PSSF, MWENDOKASI KIMARA halafu uteswe tena na pesa zako mwenyewe ?
Pumbavv Sana.
Mimi hata duka la mangi/muha/mpemba huwa silalamiki, nikifika dukani kama hueleweki naenda kwingine.
Mteja Siyo Mimi Peke Yangu, Na Huna Duka Peke Yako Hapa Mtaani.
Bank ndio kabisaa, nilianza na NMB wakaniletea uswahili nikahamia EQUITY, Naona wakileta upupu nahamia STANBIC.
Staki stress uchwara wakati nina mambo mengi productive ya kuumiza kichwa changu.
Na Ninyi ndio mnaosababisha hali hiyo ya wao kubweteka, kama wanawapa huduma mbovu na bado mpo tu mnalialia kama mazwazwa ndio ndio hawaoni sababu ya kuboresha.