Pesa nyingi zinazotolewa kwenye ATM ni ndugu labda dada yako amekuibia, mke wako, kaka yako, bf wako, gf wako, rafiki yako nk Tunza kadi yako na Password utaishia tu kusumbua benki wakati mkosefu wewe mwenyewe. Uliona wapi Password inaandikwa kwenye kikaratasi unaweka na kadi humo humo kwenye wallet? Halafu unapoteza Wallet leo una report benki baada ya siku 5!