Wewe umeona leo? mdogo wangu aliweka fixed term deposit miaka ya 2000 mwanzoni, akasafiri, hakurudi kwa wakati, nashangaa ilipomature pesa yake badala ya kuiweka katika account yake after maturity, wakaiweka kwenye suspense sielewi kwanini, baada ya muda mdogo wangu anaenda kuulizia pesa yake IMELIWA NA MPAKA LEO NINAVOKWAMBIA TUMEHANGAIKA SANA TENA SANA ! PESA HAIJARUDI AMEAMUA KUMUACHIA MUNGU. NA NINA IMANI ATAMLIPIA KWA NJIA YEYOTE ILE. Ni pale Holland House, tumeenda kwa manager mpaka tumechoka! tena mwisho akawa anafoka , imagine ilikuwa mil 2 ya miaka 1999.
You sound like a frustrated guy. Kama unajua yote haya mbona unaishia kulalama tu?hakuna channels?au umetumwa na Benki yako ya kigeni kuchafua wenzio? kifupi huu wote unaouongea hapa ni uzushi mpaka ulete proof hapa barazani.Jamii Forum sio sehemu ya majungu, tukiendelea na mwendo huu tutageuza jukwaa hili kuwa kama blogs za mipasho.Get a life!Many people are mislead when they look at CRDB PLC from outside. It is a political financial institution. It has got a number of scandals and that is why a lot of government's fraudulent transactions pass through CRDB,i.e Richmond, EPA just to mention a few.
One of the principle of good lending is that "you must lend the right amount". If a customer has got a contract of say Tshs 200 million and is applying for a facility of Tshs 200 million, do not give him Tshs 50 million. You are wasting his time and causing business loss because he will fail to allocate it in his contract. What can be done to spend Tshs 50 ml in a project of Tshs 200 ml?
A good banker will approve Tshs 200 ml but will enter into a triplicate contract between you, the contract owner, and the bank.In that contract, it will be stipulated that every payment from the contract owner should pass through your account in that bank, so that they deduct their installments. So you cannot run away with their money.
But what i know is that CRDB does not have adequate cash, they always have liquidity problems. And i pressume that the source of their illiquidity stems from their tendency of massaging their profit figures. They declare profit while their interbranch accounts are not balancing. Interbranch accounts should mirror one another, but for CRDB that is not the case. So when these accounts are not balancing it means there are so many fictitiois transactions dumped there which need to find their way to P & L a/c.
I aslo know a family whose house was mistakenly sold by CRDB after some gangstars had used counterfeit documents and claimed that house to be their collateral and got a loan from crdb by colluding with some employees in 2002. Up to this moment, that family is still strungling in courts to get their house back.
One contributor has mentioned about a maturing fixed deposit account whose funds were transferred to a suspense account. What is a suspense? It is an account where accountants post figure temporarily while looking for its origin. It does not attract any penalty because you do not know what that figure relates to. But a good software will automatically return that money into your savings account because the savings account and FDR are linked together. I am saddened by that daytime theft.
Guys i have a lot to tell about CRDB and many banks in our country but this is enough for today. May be one day i will write an article on how we are being robbed by our banks in Tanzania and BoT being a teethless watchdog
I SUBMIT
Huyu jamaa wa kushoto ni vipi!!
You sound like a frustrated guy. Kama unajua yote haya mbona unaishia kulalama tu?hakuna channels?au umetumwa na Benki yako ya kigeni kuchafua wenzio? kifupi huu wote unaouongea hapa ni uzushi mpaka ulete proof hapa barazani.Jamii Forum sio sehemu ya majungu, tukiendelea na mwendo huu tutageuza jukwaa hili kuwa kama blogs za mipasho.Get a life!
Sometimes I wonder when I see Kimei and other bank CEOs boasting of huge profit. These banks are ruining customers, they dont take any risk, no innovations, zero customer care and professionalism, they just sit and keep hiking their fees and rates. But trust me, time will come unfair margins will shrink and customers will walk away to other banks.
CRDB and other banks, you are very unfair to ur fellow TZ, ur contributing to the poverty of this national. Indeed our cries will not leave you safe unless you change your conduct, from junior officials to CEO, plse take heed of our lamentation.
Wewe umeona leo? mdogo wangu aliweka fixed term deposit miaka ya 2000 mwanzoni, akasafiri, hakurudi kwa wakati, nashangaa ilipomature pesa yake badala ya kuiweka katika account yake after maturity, wakaiweka kwenye suspense sielewi kwanini, baada ya muda mdogo wangu anaenda kuulizia pesa yake IMELIWA NA MPAKA LEO NINAVOKWAMBIA TUMEHANGAIKA SANA TENA SANA ! PESA HAIJARUDI AMEAMUA KUMUACHIA MUNGU. NA NINA IMANI ATAMLIPIA KWA NJIA YEYOTE ILE. Ni pale Holland House, tumeenda kwa manager mpaka tumechoka! tena mwisho akawa anafoka , imagine ilikuwa mil 2 ya miaka 1999.
Labda sio kweli,kama aliweka huhitaji kwenda mahakamani. zama bot pale iweke ishu yako utaipata siku ya pili tu.Wewe umeona leo? mdogo wangu aliweka fixed term deposit miaka ya 2000 mwanzoni, akasafiri, hakurudi kwa wakati, nashangaa ilipomature pesa yake badala ya kuiweka katika account yake after maturity, wakaiweka kwenye suspense sielewi kwanini, baada ya muda mdogo wangu anaenda kuulizia pesa yake IMELIWA NA MPAKA LEO NINAVOKWAMBIA TUMEHANGAIKA SANA TENA SANA ! PESA HAIJARUDI AMEAMUA KUMUACHIA MUNGU. NA NINA IMANI ATAMLIPIA KWA NJIA YEYOTE ILE. Ni pale Holland House, tumeenda kwa manager mpaka tumechoka! tena mwisho akawa anafoka , imagine ilikuwa mil 2 ya miaka 1999.
hata mkopo wa wafanyakazi wanaboa, unaomba mkopo ili utatue shida yako, mpaka sasa ni mwezi sasa hakuna kitu.
ovyooo kabisa. jumatatu naenda kuomba withdraw ya mkopo wangu