mdogo wangu GPA haikupi kazi huku makazini kuna watu wana GPA kubwa lakini hamna kitu, yani perfomance yake ya darasani na ofisini havilingani kabisaaaa

kigezo cha kuita watu kwenye interview ni ufaulu,
baada ya hapo sasa ni kupima utendaji na muonekano,
tusivunjane moyo wadau,mwenye information za kutosha aweke wazi!