Application nilishafanya online,na GPA yangu ni kubwa hivyo najipa moyo nifahamu kama hawajaajili,ili niendelee kuvuta subira
Ok,nashukuru kwa taarifa,niendelee kuapply sehem mbalimbaliMkuu wameshaajiri post za bank officer na microfinance ndo wamemaliza training majuzi. Next time peleka application zako hardcopy pale azikiwe HQ za CRDB.
uko sawa kabisakwanza wameshaajili tayari, na watu wamesharipoti vituoni tayari, kwa hiyo vuta pumzi, pili, kazi za siku hizi hawaangalii gpa ndugu ni uwezo wako, na pia ulichokisoma na utakachokikuta kwenye kazi haviendani. Ukibaki na mtazamo wako ukila msoto kidogo tu waweza fanya maamuzi mabaya, badilika.
Hi..., we got your name from MUCCBS provided by L.N.Ngailo, please forward to me your application letter bank officer position, cv, copies of certificates - university cert, univ transcript, form six and form four cert as well as other copies of certificates, my email address; Petro.Kashindye@crdbbank.com, deadline 22/06/2014. If you are in dar you may bring it by hand azikiwe posta crdb bank hq hr department.
Tulitumiwa hiyo msg hapo juu, tunasuburi majibu wiki 2 baada ya dedline
well said! CRDB huwa wanachukua kutoka chuoni directly! Ukisema nkutuma barua utachoka japo pia sijakukatisha tamaa. Pia wanachukuaga kuanzia upper second
Kweli wanachukua GPA Upper Second,,ila safari hii wamechukua kuanzia 3.6 mpaka 4.0 kamili,,,waliokuwa na GPA zaidi ya 4 hawakuchukuliwa na chini ya 3.6 pia.
Hi..., we got your name from MUCCBS provided by L.N.Ngailo, please forward to me your application letter bank officer position, cv, copies of certificates - university cert, univ transcript, form six and form four cert as well as other copies of certifi
cates, my email address; Petro.Kashindye@crdbbank.com, deadline 22/06/2014. If you are in dar you may bring it by hand azikiwe posta crdb bank hq hr department.
Tulitumiwa hiyo msg hapo juu, tunasuburi majibu wiki 2 baada ya dedline