CRDB Bank na kinachoendelea?

Issue ni kwamba ikianza kukorofisha hamna cha master card wala visa kufanya kazi. Zote zinakuwa hazifanyi kazi..ukienda kwenye ATM nyingine unapata error msg ya failure to connect to your bank..
I'm not talking about networking errors,I'm rather talks concerning service charges when using CRDB VISACARD through other banks ATMs,lazima zikukae akili jinsi unavyofyekwa.
Halafu kadi zenu za TEMBO MASTER CARD zilikuwa hazikubali kufanya kazi kwenye ATMs za benki nyingine ,vp mmeshatatua hii kero...!!??
 
Crdb ilishaoza, kila siku mtandao unasumbua, dalili za kufa hizi
 
Nenda Tpb bank ukaunganishwe na huduma ya Simu ya Tpb popote iko fast and reliable, na makato yake ni cheap,hakikisha unapata pia Atm zao ziko vzuri 24-7....sisumbukagi na maswala ya mtandao wala foleni ndefu.
 
Inawezekana server yao imezidiwa. Cha kushangaza kwanini hawarekebishi hilo suala!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…