CRDB Bank na kinachoendelea?

Kimei amejaza ndugu zake wachagga unategemea nini kazi yao ni wizi tu na ss ivi wanafungua matawi wanayaita microfinance muda si mrefu watayafunga tu
 

Kwa maoni yangu mie....nadhani unahitaji kujifunza sana elimu ya hisa...na lakin kuilinganisha crdb na nmb ni sawa na kulinganisha tembo na punda....kimkakati na kimtandao nmb ni benki kubwa sana...na iko well connected na serikali. Hii inaihakikishia benk hii biashara ya muda mrefu thats is why utaona hisa zakr ziko juu sana....kulinganisha na crdb.

Crdb bado mtoto sana kwa nmb...crdb bado inajenga mtandao...wakat nmb iko karibu kona zote. Sasa basi crdb inalazimka sana kutumia sehemu kubwa ya mtaji wake kuwekeza zaidi kuliko kulipa share....am just thinking any way!
 
nlkua na mpango wa kuiendeleza pale mkataba na HESLB ukiixa... ila nlikataga tamaa zaman sana.. NMB afazal
 
Ni kweli mfano ni leo huku Kahama watu tumehangaika sana asubuhi hapakuwa na mtandao kabisa ulirudi baadaye sana, na ikifika jion kwa upande wa simbanking huwezi kuhamisha chochote.
 
Kwa namna hii nitakuja very soon, pamoja na foleni zenu hamna namna sasa
Mkuu mi ni mteja wa crdb tangu 1998 sababu ya matatizo yao nimehamia NMB hata mwaka bado lakini NMB kwenye mitandao wako powa sana.... wako fast na reliable tatizo lao ni limit yao kwa
siku ya 1m kwa ATM/ SIM BANKING wakati crdb unaweza toa 1m kwa kila mtandao wa simu (tigo
pesa, mpesa, airtel money) na bado ukavuta kwenye ATM na kutransfer kiasi flani kwa sim banking nadhani limit ni 5m kwa siku.... NMB kwa only 1m kwa siku kwa ATM na sim banking
Kwa kweli mnaboa sana.....
 
Ndo maana siku hizi nawaona NMB wana wateja wengi kumbe mafuriko yashaanza tayari. Kunawezekana CRDB wakawa wamebanwa njia zao fulani hivi na serikali hii, si bure.
 
Leo nimeshindwa nunua mahitaji ya nyumbani, na pesa ninayo kwao nyingi tu. Tangu saa 7 mchana mpaka usiku huu ATM hola.. Ukiwapigia simu hawapokei.


Inanilazimu kesho niingie ndani nitoe dirishani. Pesa nimeipata kwa jasho, inanitoa jasho pia.
 
Duu vijimaneno vya Wateja duu ni noma.mie nilikuwa nafikiria kufungua ac huko duu.embu ngoja nisikilizie
 
Sim banking na Atm zote zinategemea Tigo au Voda sasa unajua tabu unampigia jamaa yako voice call unaambiwa namba hiyo haipo! What Do You xpect?
 
Duu vijimaneno vya Wateja duu ni noma.mie nilikuwa nafikiria kufungua ac huko duu.embu ngoja nisikilizie
kwani braza Mbona sisi tupo Equity bank mda n.a. hatujawahi pata hizi shida....hamna makato ukiweka buku hata mwaka unaitoa...haya bana bakini na shida zenu
 
Equity ina matawi machache mikoani na wilayani ndo kabisaa
 
Kuna vitu vingine ambavyo ni vidogo lakini ni kero sana kwenye hii bank. Kama mshahara usingekua wapitia huku ningehama long. Unapo ingiza malipo ya ada kwenye akaunti ya shule wanakata sh. 1100 eti fee ya karatasi ya kufanyia transactions. This is rediculous
 
Nmekuwa mteja wa crdb tangu mwaka 2010... Ila mwaka huu nimewapga chin sitasahau walichonifanyia
 
mikopo nayo nasikia imepigwa ban,dah. Rais magufuli ataua hizi benki
Hapa fafanua maana nataka kuchukua mkopo wamepiga ban lini?siku chache walinijibu hatua za kufuata hapo mnazimmoja ili nichukue nyingi nilipe kidogokidogo
 
 
Kuna shida na hivi account kuu za taasisi za serikali imehamishiwa BOT.
Kuna jamaa angu analalamika amejaza mkopo anapigwa dana dana njoo kesho njoo Kesho
 
Hajaweka picha,mwambie mwanaume halalamiki.
Aende Bank of India pale Posta anapata loan siku hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…