mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Kwa kweli nimekua mtumiaji wa huduma yao ya mobile banking tangu ianzishwe...tatizo kubwa ni DELAY...hela ikiamishwa kutoka kwenye akaunt yangu kuja labda mpesa itakaa weee hadi usahau...wakat huo hela kwenye akaunt haipo na mpesa haipo...inakua wapi sielewi..leo nimehamisha fedha saa 10 mchana hadi muda huu wa saa karibu 4 usiku sijapata iyo hela kwenye mpesa yangu...mmenisababishia usumbufu mkubwa sana ambao hamuwez kunilipa kwa garama yeyote ile!!!!!kama hamuez kupunguza au kuondoa iyo DElay tafadhalini go out of that business!!!!
sijajua kama kuna huduma pia ya kuhamisha kutoka mpesa kwenda crdb, nimekuwa mara kadhaa nikitoa crdb to mpesa na kuhamisha to other crdb acct, hiyo tunafanyaje jamani, msaada tafadhali
Mkuu sitaki hata kusikia hii kitu. Ni maudhi makubwa mno. Yaani jamaa wamekurupuka na kujitutumua kumbe hakuna kitu. Unaweza kutuma mpesa kwa namba ya tigo na pesa ikakatwa lakini haionekani imeenda wapi. Hii ni aibu kubwa kwa CRDB. Ukipiga simu huko call centre wanasema wanashughulikia lakini hawakupi majibu. Ukipiga tena wanaomba details upya, hawajui wanachokifanya. Nimepoteza kiasi cha shilingi laki nne kupitia simbanking. Hii ni ya kuogopa kama ukoma.Kwa kweli nimekua mtumiaji wa huduma yao ya mobile banking tangu ianzishwe...tatizo kubwa ni DELAY...hela ikiamishwa kutoka kwenye akaunt yangu kuja labda mpesa itakaa weee hadi usahau...wakat huo hela kwenye akaunt haipo na mpesa haipo...inakua wapi sielewi..leo nimehamisha fedha saa 10 mchana hadi muda huu wa saa karibu 4 usiku sijapata iyo hela kwenye mpesa yangu...mmenisababishia usumbufu mkubwa sana ambao hamuwez kunilipa kwa garama yeyote ile!!!!!kama hamuez kupunguza au kuondoa iyo DElay tafadhalini go out of that business!!!!
Mkuu atapoteza akiba yake huyo.inawezekana mkuu
sijajua kama kuna huduma pia ya kuhamisha kutoka mpesa kwenda crdb, nimekuwa mara kadhaa nikitoa crdb to mpesa na kuhamisha to other crdb acct, hiyo tunafanyaje jamani, msaada tafadhali
Mkuu sitaki hata kusikia hii kitu. Ni maudhi makubwa mno. Yaani jamaa wamekurupuka na kujitutumua kumbe hakuna kitu. Unaweza kutuma mpesa kwa namba ya tigo na pesa ikakatwa lakini haionekani imeenda wapi. Hii ni aibu kubwa kwa CRDB. Ukipiga simu huko call centre wanasema wanashughulikia lakini hawakupi majibu. Ukipiga tena wanaomba details upya, hawajui wanachokifanya. Nimepoteza kiasi cha shilingi laki nne kupitia simbanking. Hii ni ya kuogopa kama ukoma.
Nakumbuka waliianzisha siku za nyuma ikafeli sasa baada ya kuona NMB wamekuja nayo kivingine nao wakakirupuka bila testing; ati walifanya pilot testing kwa wafanyakazi wao nayo haikuwa perfected. Simbanking ya CRDB ni janga kwenye banking industry inabidi BOT waingilie kati kutuokoa. Jumanne naenda BOT kulalamika juu ya kupotea kwa pesa yangu.
tatizo kubwa la CUSTOMER CARE zao hawajui HUDUMA(service) wanayotoa ikoje na matatizo yake,hao ndi huishia kulikoroga kabisa na mteja,nashauri wawe wanapewa mafunzo mara kwa mara au wawe ni wahitimu wa huduma husika na sio uhitimu wa sura na sauti tu
Mkuu sitaki hata kusikia hii kitu. Ni maudhi makubwa mno. Yaani jamaa wamekurupuka na kujitutumua kumbe hakuna kitu. Unaweza kutuma mpesa kwa namba ya tigo na pesa ikakatwa lakini haionekani imeenda wapi. Hii ni aibu kubwa kwa CRDB. Ukipiga simu huko call centre wanasema wanashughulikia lakini hawakupi majibu. Ukipiga tena wanaomba details upya, hawajui wanachokifanya. Nimepoteza kiasi cha shilingi laki nne kupitia simbanking. Hii ni ya kuogopa kama ukoma.
Nakumbuka waliianzisha siku za nyuma ikafeli sasa baada ya kuona NMB wamekuja nayo kivingine nao wakakirupuka bila testing; ati walifanya pilot testing kwa wafanyakazi wao nayo haikuwa perfected. Simbanking ya CRDB ni janga kwenye banking industry inabidi BOT waingilie kati kutuokoa. Jumanne naenda BOT kulalamika juu ya kupotea kwa pesa yangu.
ndio inawezekana. Ponyeza *150# ok, then press 4 ok, ingiza namba ya kampuni ambayo ni ya crdb (900500) ok, ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo ambayo ni namba ya account yako ya crdb, ok, weka kiasi unachotaka kuweka katika account yako, ok, dhibitisha kwa kubonyeza moja. Then utaambiwa ombi lako limetumwa na m pesa itakuletea ujumbe kwamba pesa zako zimetumwa crdb, endelea kusubiria kama dakika 10 hivyi, crdb nao watakutumia ujumbe kwamba pesa imepokelewa kwenye account yako. Matizo ni yakawaida tu, na jitihada zinafanyika kuweza kuboresha huduma hizi msiwe na wasiwasi kwani crdb na vodacom wanajali wateja wao na wasingependa mtaabikie huduma zao, wanaombeni radhi kwa usumbufu mlioupata na wanawaahidi kuyapatia ufumbuzi matatizo yenu haraka sana iwezekanavyo.