raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 12,025
- 37,563
Kila mahali nchi hii ni kukaa kimachale machale tuu
Wanasema labda nilibet wenyewe hawajui ni nini.mimi hata sijui mambo ya kubet
Jamaa aliajiriwa kijijina SANAAAAA, na kakulia Town maisha yote, Alikoenda hakukua hata na Network kutafuta Benk gharama ni 20, maana ni Boda,Interesting, Tupe ilivyokua, huenda mtu akajifunza kitu hapa. Somo kubwa hili.
CRDB ni wezi. Usipokiwa na kawaida ya kuangalia statement utaibiwa Sana.Mimi ni mteja wa crdb juzi nimeenda kwenye account yangu mojawapo kwa ajili ya ada za watoto nimekuta zaidi ya milioni moja imetolewa
Bank statment inaonesha kila siku walikuwa wanakata elfu kumi na moja sijui inasema purchase sijui nini.sijawai kununua chochote na hiyo card wala hakuna mtu alishawai kuiona. Wanasema eti labda nilibeti .sijawai hata sijui mambo hayo
Wanasema siku 45 watanipa jibu.nini kinaendelea wakuu??kudanga nidange mimi hela wachukue wengine kweli??
Nawaona watu wanavyokurupuka kuiponda bank wakati hata Senti moja inaonekana ilivyotoka. Yaani Kuna mtu akajiunga hapo na kadi yake analipia ishu fulani mtandaoniKuna mtu ana detail zako kuna app kaunganisha wanakata izo hela, mfanyakazi Gani wa bank mjinga awe anaiba elfu 11 Kila siku... Na wakati anajua lazima itaonyesha nani kafanya authorization,
Nipo hapa, lazima utakuja kutuambia Kuna mtu Ali access kadi yako akawa analipia ma application ya kipuuzi, crdb hawaendeshi kienyeji ivo, tungekua tunalia Kila siku
Kuna sehemu uli subscribe bila kujijua. Ukaweka bank details ndio maana wanakufyekaMimi ni mteja wa crdb juzi nimeenda kwenye account yangu mojawapo kwa ajili ya ada za watoto nimekuta zaidi ya milioni moja imetolewa
Bank statment inaonesha kila siku walikuwa wanakata elfu kumi na moja sijui inasema purchase sijui nini.sijawai kununua chochote na hiyo card wala hakuna mtu alishawai kuiona. Wanasema eti labda nilibeti .sijawai hata sijui mambo hayo
Wanasema siku 45 watanipa jibu.nini kinaendelea wakuu??kudanga nidange mimi hela wachukue wengine kweli??
Mimi ni banker.... Na ninatumia kadi ya crdb kwa alichofanyiwa huyo km wengi walivyomwambia ka subscribe app ama purchase online via bank account!!Kuna sehemu uli subscribe bila kujijua. Ukaweka bank details ndio maana wanakufyeka
Wataomba radhi kuepusha kuwa stress other customers Ila watafatilia kujidhihirisha na miamala yake iliyotolewa bila yeye kujua....Ulivyomalizia tu post yako [emoji1787] [emoji1787] ila hii post inapaswa kusambaza mpaka kwenye social nyingine kama hawatakuja hadharani kuomba radhi na kuchukua hatua! Wasituridishe ujimani huko kuweka hela mchagoni au kuzicjimbia mgombani
Angalia Bank statement inasema purchase ya nini.Mkuu sijawai kununua online wala kutoa hii acount no popote
Mkuu nina account nyingine hata ingekuwa ni manunuzi nisingetumia hii.Mimi ni banker.... Na ninatumia kadi ya crdb kwa alichofanyiwa huyo km wengi walivyomwambia ka subscribe app ama purchase online via bank account!!
Ama alikuwa na tendency ya kuweka bila kutoa..... Na ukute akaunt sio fixed....
Bank wata suspense akaunt yako, na sio kwamba eti wanaiba ela ko sku ukija utaona ela hamn Ila watakuambia njoo sku tatu au wiki Wana correct akaunt yako muamala unarud.
Ila ajitahd kuchek vzr CRDB now ni bank kubwa ije iibe ela ipi? Kwanza ukiishtak inafungiwa au kupigwa penalty ya kibabe na BOT
Kuna mtu ana detail zako kuna app kaunganisha wanakata izo hela, mfanyakazi Gani wa bank mjinga awe anaiba elfu 11 Kila siku... Na wakati anajua lazima itaonyesha nani kafanya authorization,
Nipo hapa, lazima utakuja kutuambia Kuna mtu Ali access kadi yako akawa analipia ma application ya kipuuzi, crdb hawaendeshi kienyeji ivo, tungekua tunalia Kila siku
NAKAZIA, SIO KOSA LA BANK kuchukua hela zako za kudanga.angalia watoto, mume au watu wa karibu, sio kosa la Bank.
Hawawezi kukuibia hivyo hata siku moja, Hakuna mfanyakazi atarisk kutransfer elfu 11 kila siku na anajua wakikagua watagundua ID ilyofanya hiyo mihamalaMkuu nina account nyingine hata ingekuwa ni manunuzi nisingetumia hii.
Sijawai kuitumia popote wala kuiandika popote.nina uhakika sema siitumii
Nenda bank kaonane nao then wapitie mfumo wa akaunt yako wanaone ttzo liko wap? Km waliku suspense ela yako itarudi!! Ila ukumbk akaunt znatofautiana makato n.k hope utasaidika vyema Ila huku sio salama Sana kuitangaza bank vibayaMkuu nina account nyingine hata ingekuwa ni manunuzi nisingetumia hii.
Sijawai kuitumia popote wala kuiandika popote.nina uhakika sema siitumii
Ahaaa eeee, chukua hio👇Hizo labda benki uchwara za mittani, au labda hujui benki zinafanyaje kazi zao. Hakuna mfanyakazi anaweza fanya huo ujinga labda kama kaamua kujilipua ahame nchi au aishie korokoroni
Nimeshamuhakikishia kua lazima Kuna mtu kajiunga na Kadi yake mtandaoni Kuna vitu au huduma analipia ndo maanaNawaona watu wanavyokurupuka kuiponda bank wakati hata Senti moja inaonekana ilivyotoka. Yaani Kuna mtu akajiunga hapo na kadi yake analipia ishu fulani mtandaoni
Kuna wakati unakuta akaunt wanazi suspense kutokana na sababu nying Ila bank haiwez kuiba ela ya mtu ata Mia!! Tofaut na charges za kila mwez nyngn zote unapataHii bank ina shida somewhere, waliwahi kupita na fedha zangu hivyo hivyo!! Ila kuna fomu nilijaza na fedha walirudisha!!