CRDB bank acheni ubabaishaji mnatutesa

CRDB bank acheni ubabaishaji mnatutesa

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,429
Reaction score
108,577
Tangu jana mpaka muda huu ATM zote hazifanyi kazi hivi mnajuwa maana ya dharura kwa binadamu.
 
Kadi yangu iliisha muda, nikaenda kuhuisha, nikaambiwa itakuwa tayari baada ya wiki 2. Zilipofika wiki 2, kwenda, nikaambiwa hazijawa tayari, wakaongeza 2 tena. Kadi nimepewa Alhamisi wiki iliyopita, nikaambiwa nisiitumie hadi nikitumiwa PIN, hadi sasa sijaiona hiyo PIN. Huwa natumia Sim banking, system nayo ipo down, najaribu toka saa 2 asbh hakuna kitu.
 
Nadhani network itakuwa imerudi ila sina uhakika kama hela zinatoka.
 
At least Sim banking imerudi.

Nimejaza form ya simbanking tangu week iliyopita lakini sijapata message ya kujiunga mpaka leo nawapa big up nmb kwa utendaji wao kwenye nmb mobile ???
 
Kadi yangu iliisha muda, nikaenda kuhuisha, nikaambiwa itakuwa tayari baada ya wiki 2. Zilipofika wiki 2, kwenda, nikaambiwa hazijawa tayari, wakaongeza 2 tena. Kadi nimepewa Alhamisi wiki iliyopita, nikaambiwa nisiitumie hadi nikitumiwa PIN, hadi sasa sijaiona hiyo PIN. Huwa natumia Sim banking, system nayo ipo down, najaribu toka saa 2 asbh hakuna kitu.

yaani mkuu kama mimi vile nasubiria eti Pin nikitaka hela mpaka niende ndani ...cha ajabu na matela nao wanakwambia umewakumbusha?
sijui wamekula maharage ya wapi wale....aaaaargh shida sana hawa....eti nikumbushe hamjui wajibu wenu? benki hii kwa kweli kama wahusika mpo humu fanyieni kazi...sifurahii huduma zenu
 
Nilijaribu airport mashine moja inafanya kazi hila hakuna mihamala, hivi hakuna namna naweza kuwashtaki mahakamani kwa hasara walionisababishia jana na leo?

Cc: Pasco
Pole,

Unaweza kumshitaki service provider yoyote wa huduma yoyote kwa kukusababishia hasara yoyote provided huyo service provider ndio responsible kwa hasara uliopata na irresponsibility hiyo itokane na negligence na pia uwe na uwezo wa kuithibitisha hiyo hasara.

ATM nyingi zinaendeshwa kwa data connectivity, kwa juzi na jana kulikuwa na tatizo la umeme hivyo CRDB are not responsible na ukosekanaji wa data kutokana na tatizo la umeme, hakuna element ya negligence!.

Ila usiwe na hasira sana na CRDB ni benki yetu, pitia hapa upunguze hasira
[h=3]CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!. -[/h][h=3]Jee Mabenki Wanajali?!. Shuhudia Jinsi Benki ya CRDB [/h][h=3]Benki ya CRDB Lumumba, Yaadhimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja.[/h]Pasco
 
Kaka kwa kifupi tu bila kuingia kiundani hasara kamili ni kwamba leo nimeshindwa kuconfirm booking yangu ya flight sina cash, kuna hasara ya shilling laki mbili for new booking achilia mbali huko ninakokwenda. Hii nchi ni shida.
 
Mabenki ya bongo mengi (kama si yote) ni majanga tu.

Ukihama moja uende nyingine udhani huko ndiko kuna nafuu ni kujidanganya tu.
 
Card yangu ya crdb imeexpire tokea januari mpaka sasa hivi sijapata. Yani kadi iki expire mpaka upeleke maombi ya kurenew. Nimefuatilia wamesema watanitumia ujumbe ikiwa tayari kwani kuna matatizo kwenye mtambo wa kutengeneza kadi.
 
Card yangu ya crdb imeexpire tokea januari mpaka sasa hivi sijapata. Yani kadi iki expire mpaka upeleke maombi ya kurenew.

Hmmm ya kweli hayo?

Wengine tushazoea kuletewa tena kupitia njia ya barua.

Muda wa kuisha tu ukikaribia unatumiwa kadi yako mpya.

Uamuzi wa kui activate unakuwa wako. Ukitaka unasubiri hadi ya zamani inamaliza muda wake au ukitaka unai activate hiyo mpya na mara moja hiyo ya zamani inaacha kutumika/ kufanya kazi.

Hakuna hassles kabisa.
 
Kaka kwa kifupi tu bila kuingia kiundani hasara kamili ni kwamba leo nimeshindwa kuconfirm booking yangu ya flight sina cash, kuna hasara ya shilling laki mbili for new booking achilia mbali huko ninakokwenda. Hii nchi ni shida.
Oh Please don't let us down, nchi yetu si unaijua lakini!, sisi tuu hapa bongo tunalipa kila kitu kwa visa card master, wewe uje kutegemea ATM?!.

Pole

Pasco

Oh Please don't let us down, nchi yetu si unaijua lakini!, sisi tuu hapa bongo tunalipa kila kitu kwa visa card master, wewe uje kutegemea ATM?!.

Pole

Pasco

Mauwa yameshakulevya na safari ya matumaini you sold in cash.
 
Hiyo SIMBANKING nayo ni tatizo... Kila saa ina tatizo na ukishapiga ile namba ya sim banking hatakama hujapata huduma VODA wanakulamba fasta... Ukijaribu mara kadhaa voda wanaendelea kulamba salio lako mpaka unakosa hela ya kuangalizia salio. Na ukifanikiwa kuingia sim banking nao hao CRDB wanakulamba kama kawa... Yaani ni kwamba unapigwa kila idara.. Voda wanakuumiza CRDB wanakuumiza... Dah mi saa zingine sionagi umuhimu wa hizi huduma.. Huwa naona zimekaa kiwizi wizi sana
 
CRDB wezi sana niliangalia salio tuu mwa siku mbili walinikata tsh.50000 sina ham nao hata punje
 
Back
Top Bottom