Andamano kuu huwa haliishi mkuu..kuna vipindi vya maandamano!Mkitoka maandamwano yameisha
Mshana Jr, umenikumbusha zamani nikiwa kijijini, kuna Mzee alikuwa hajui kusoma, akaandikiwa barua Na mwanawe, akanipa nimsomee, akaniziba masikio ili nisisikie ninacho kisoma
Kufanya nini huko chumbani?.Safi sana huyu tukiandamana naye chumbani...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mshana Jr, umenikumbusha zamani nikiwa kijijini, kuna Mzee alikuwa hajui kusoma, akaandikiwa barua Na mwanawe, akanipa nimsomee, akaniziba masikio ili nisisikie ninacho kisoma