Niliwakimbizaga sana advance pale hge pandahill sikuwahi toka wa kwanza na hata tabia zangu nikiwa darasani ni tofauti kabisa na bwenini dorm mimi ni bonge la businessman kuuza chakula tu na vitu nje jiwe la kutosha sana nilikusanya ebhanae si ma snitch wakanichoma kwa bochu asee ndo nikagundulikaga huyu jamaa ni nyokaa 😂😂😂 walinipiga sana watu wangu wa pandahill wanaelewa show zao na mpka zile zawadi za kuwa wa kwanza walininyimaga 😂😂😂 asee ila nashukuru Mungu hawakunifukuza maana wangetoa kijiti 😃😃😃~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught; thank God I was not part of the two.
~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards.
~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband.
~Would go to the dining hall before the lunch bell goes.
~ Used to write lyrics of the artists of your preference. (remember 2Pac, Bob Marley?)
~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.
~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana baab kubwa!
~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadaye 'unapiga chini'.
~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).
Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume. Ladies, tell us what you used to do (crazy ones pls).
Hahaha Enzo za makimaster au Nani?? SembeTulitoroka kwenda kwenye Bai Koko kule Mwakizalo usiku tukiwa tumetoka Galanosi. Hahaa, ni mbali sana usiku wa manane tunarudi si tukakutana na Polisi. Tukaambiana, tukutane shule na hakuna kutajana. Kila mtu apite njia yake. Hahaaa, sijawahi kukimbia kama nilivyokimbia siku ile. Mitaani watu walijua kiberenge kinapata.
Nime cheka kinyama 😀🤣Umenikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa anatafuta nafasi ya ku-serve siku ya wali na akiipata utakiona kivumbi chake maana siku mbili hadi tatu anakula wali tena bila hata kuchemsha.
Jamaa huyo aliendelea kuwa tabia yake maana nilipata habari kuwa kwenye harusi ya mdogo wake huko kijijini alijiwekea pilau kwa ajili ya safari kesho yake. kilichotokea ni kuharisha karibu njia nzima.
jamani tabia za shule zingine zafaa kuachwa uanpofika uraiani.
Shangazi Madame B ulikuwa mtu mbadi😁🤓Me nakumbuka tulifukuzwa shule baada ya kumteka dogo mmoja wa form 3 kisha tukampiga na kumvunja miguu yote, kisa, alikuwa anajiona mzuri sana shule nzima.
Enzi hizo niko form 1 term ya pili.
Nasikia huyo dada now yuko pale Bandari, ila anachechemea mguu wa kushoto naana ulishindikana kunyoosheka fresh.
Mungu nisamehe.....ulikuwa utoto tu.
AiseeeShangazi Madame B ulikuwa mtu mbadi😁🤓
Sasa uzuri wake, nyie uli wakerea kipi 🙄😃🤣Nilijutia sana na mpaka leo bado najutia.
Sema nini, wanaaake waache kujiona wazuri
Basi tu, si unajua wivu....🤷Sasa uzuri wake, nyie uli wakerea kipi 🙄😃🤣
Ko wezere na ka baby face, mkaona ni tishio Kwa himaya yenu🤣😂.Basi tu, si unajua wivu....🤷
Tulifanya kwa tahadhari.Ko wezere na ka baby face, mkaona ni tishio Kwa himaya yenu🤣😂.
Unge ua, SA hizi Unge kuwa Usha lala🤣
Dah Nawaza Unge mfumania mtu na boyfriend wako, enzi hizo😂Tulifanya kwa tahadhari.
Unadhani hatuijui jela....
Ningekata uume na ukeDah Nawaza Unge mfumania mtu na boyfriend wako, enzi hizo😂
Shangazi mbadi🤣😂Ningekata uume na uke
Mie sio mbadi,wananichokozaga tu.Shangazi mbadi🤣😂
Nasubiri sebuleni tu😃😂Mie sio mbadi,wananichokozaga tu.
Sasa mpwa, naenda kuoga,....unakuja tuoge wote au unanisubiri sebuleni?
Haya, nikitoka nitakuja unipake mafuta mgongoni...🛀Nasubiri sebuleni tu😃😂