Gaijin mambo.
Usimkatishe tamaa bana ..kajitahidi sana hapo eti ..
Nasikia ulikuwa Jela na wewe Pole.
Yes..buddy that what they say life is all about taking risks...Got you! But its like he played a risky game. Cause the girl could get another person while he was in prison
Gaijin mambo.
Usimkatishe tamaa bana ..kajitahidi sana hapo eti ..
Nasikia ulikuwa Jela na wewe Pole.
Hahaha!! Gee maana mimi kama kila siku naongea kwenye simu for more than two hours inakuwa imeishakuwa mazoea ila sasa ile mtu ku-pull stunt ambayo inakuwa kila mtu akitafakari anakuuliza "Hivi what were you thinking when you were doing this" sasa hapa nafikiri Calnde atakuwa ameelewa..
Yap....maana hizi za kuongea kwenye simu zaidi ya masaa mawili ni watu wengi wanafanya so sioni kama ni jambo jipya kivileee..ila kama ni ishu ya almost mtu kutoa uhai wa mtu mwingine halafu bado wakaendelea hadi kuja kuoana now that's "CRAZY"..
Yes..buddy that what they say life is all about taking risks...
Niliona usikae mwenyewe nije nikupe company jela ....
Simkatishi tamaa, wanawake wanapenda hiyo sometimes, as long as wakati mwengine ni man enough
Dahhhh.
Hivi yule mdada aliekuwa kwenye corner anapeleka za Jet Lee alikuwa wewe ..? Au
Maana kuna kundi kubwa tuliondolewa hapa kwa mkupuo ..
Hajakatishwa tamaa mtu hapo! If I enjoy doing that for my love and u r coming with unfounded conclusions and allegations it doesnt affect me in anyway. At least we lawyers are trained to accept criticisms, insults, praise and all that!
Kuna Mlugaluga mmoja kapewa umoderator basi taabu tupu
Kuna Mlugaluga mmoja kapewa umoderator basi taabu tupu
hehehe halafu wee na Afro mlifanya nini kwanza? hata hamfananii ban
Yes....Mkuu hapo sasa we are on the same page...Hajakatishwa tamaa mtu hapo! If I enjoy doing that for my love and u r coming with unfounded conclusions and allegations it doesnt affect me in anyway. At least we lawyers are trained to accept criticisms, insults, praise and all that!
Hili neno nilikuwa sijalisikia kitambo...hahahahaKuna Mlugaluga mmoja kapewa umoderator basi taabu tupu
Muone Klorokwin...Dahhhh.
Sijui tufanyeje tu ..
Camera kila kona unapumua kwa mahesabu..
Hivi mi ntapataje u MOD.?
Inakuwa haijaisha ila ndio inakuwa mwanzo wa "CRAZY Things We Do For Love" maana unaamua kufungwa pamoja na mie huko Maximum Security Prison...
Dahhhh.
Sijui tufanyeje tu ..
Camera kila kona unapumua kwa mahesabu..
Hivi mi ntapataje u MOD.?
hehehe halafu wee na Afro mlifanya nini kwanza? hata hamfananii ban
kwa hiyo mkipata u MOD mta 'act crazy?'...lol
hivi ban is it a big deal kweli Afro?
:A S 13::A S 13::A S 13:.....:hand::hand:TF mi nimetoka huko jela sina hata muda mrefu ...
Dahhh we fungwa mi nauza kila kitu nahama mji na watoto Nachukua .."crazy things we do for love hunny..."
Teh teh teh ..
Labda tunaongea sana ..
Ni njia nyingine ya kutuambia "shut up "
Sijui kama inafanya kazi tho..lol.