Khaa....!
Kulaaaleki wallah!Ha ha ha, Hiyo ndo tunda la lavu la mwisho lol.
Hehehe!! Konnie banaa...Duh, I loved to the point of impregnating someone's daughter! :scared:
Wewe hata ukiingia chaka mimi niliishajua tayari...Mzee mwenzangu, sie tuliosoma shule za Nyerere, hizi lugha tuwaachie watoto wa St. Academy lol:sleepy:
Kulaaaleki wallah!
Hehehe!! Konnie banaa...
come on,mwaga razi Asha,tupe mfano mmoja wa crazy act ukiwa ndani ya maloveeee!Mimi ndio moja ya wale kua If I love I love hasa roho yangu haina adabu wala simile..... Yaani I have done so many crazy things for Love and I keep doing them na mengine ni so ni embarrassing to admit them (saa ingine hata kama uko peke yangu waona aibu mno... or you blush or whatever). Kuna mengine wafanya wabaki kujiuliza ulipata wapi courage... saa ingine hata uamini it was you.... na sometimes kujuta kua you have been stupid na kujiweka vulnerable kupita kiasi to the one you Love. Good thing hua sijutii I believe in complete investment in Love sipendi mambo yakiharibika nianze na ningejua, ningeongeza bidii, ningependa zaidi na bla bla zote za ningejua.... For I believe ukipenda kweli you give your whole mradi iko within your power na ethics . Ubaya huja kua ikitokea ukapata a Man who is selfish and insensitive aweza kukuumiza mno na moyo wako kufinyangika!
The crazy things we do for Love . PA Acha tu!
like.....????Mapenzi yana run dunia! hii thread iko busy leo!
Mbona sikumbuki may be iam doing crazy staff every day to the extent of seeng them normal now lol. .
come on,mwaga razi Asha,tupe mfano mmoja wa crazy act ukiwa ndani ya maloveeee!
mi nikimpenda mwanamke shurti nimtwange kama sio nyumba basi angalao ka harrier,hata kama mwenyewe sina nyumba,chezea Bishanga wewe!
come on,mwaga razi Asha,tupe mfano mmoja wa crazy act ukiwa ndani ya maloveeee!
mi nikimpenda mwanamke shurti nimtwange kama sio nyumba basi angalao ka harrier,hata kama mwenyewe sina nyumba,chezea Bishanga wewe!
come on,mwaga razi Asha,tupe mfano mmoja wa crazy act ukiwa ndani ya maloveeee!
mi nikimpenda mwanamke shurti nimtwange kama sio nyumba basi angalao ka harrier,hata kama mwenyewe sina nyumba,chezea Bishanga wewe!
Twande,kwa maisha ya sasa hivi bongo laki mbili mchezo?Bishanga unazingua nilikukuta mahali unashtuka perfume ya laki mbili bei? muzee ya mapesa aaaah uliniangusha sana na kunipoteza hao wanawake wanaona kingine labda sauti yako tamuu. .
sasa si uniPM chemba ili shemejio Aspirin na wadogo zako kina Smile wasione?hahahaha.... B' heshima yote ulo nayo juu yangu itashuka at Par..... Maana hutanielewa kabisaaaaa! lol
sasa si uniPM chemba ili shemejio Aspirin na wadogo zako kina Smile wasione?
Btw Lizzy yuko wapi?
PM? Nataka nisikie sauti yako through PM!hahahaha.... Kwa hiyo nikiharibu cv kwako uanaona sio mbaya? mimi I still want us to be friends... Hilo ndo ninalo preserve... BTW B' mbona leo waniita saana PM kuna nini?
Lizzy naona mayb kabanwa, jana/juzi alikuwepo hapa... Usha mmiss? Lucky her... Nyumba na gari in order!
PM? Nataka nisikie sauti yako through PM!
lizzy? I like her fiery temper,keeps my adrenalin pumping.
Btw am feeling lonely,najiuliza sikui nioe?
Asha,i am a survivor, a big survivor,upweke hauntishi.Leo nilikuwa nawambia wanangu...'you are grown ups,get out of my house.....nimekuleeeeni ,nimekusomesheni....nimekutafutieni kazi.....fine tuko wenyewe humu ndani so what?....hawajanijibu na ndo wanatoka kwenda wapi sijui maisha club? Bilicana?Sauti yangu wengi wakiisikia mara moja tu hawataki tena mawasiliano na mimi...
I can not do that to u B' U kno I like you a lot. Mmmh! sasa nimeelewa why umem Miss...
B' when you start feeling lonely an hour later huniambiaga you are drinking... hahahaa... BTW Are u serious?
If yes nishakuambia there will be a time you will be lonely ukanikatalia....