Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,583
- 134,220
Mkuu Dada Victoire, Mamaa Azote anakusalimia.aliimba nyimbo gani?maana mimi ngwair kafa ndo nikamfahamu,huyu nae hata simfahamu,nitajieni nyimbo nikamcheki youtube
aliimba nyimbo gani?maana mimi ngwair kafa ndo nikamfahamu,huyu nae hata simfahamu,nitajieni nyimbo nikamcheki youtube
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.
mkuu, Stan Boi ni mwanamuziki mwenye kipaji.
hapa yupo na msanii Omarion wa B2K
Kweli kabisa. Hata diamond nilimfahamu baada ya kuwa na Miss Tanzania Wema. Mimi wanamnziki wengi siwafahamu. Siyo fun sana wa hiyo industry plus bongo movie.
aiseemaana mimi ngwair kafa ndo nikamfahamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sauti ya manka ndo nini ?
Duh.....Kweli kabisa. Hata diamond nilimfahamu baada ya kuwa na Miss Tanzania Wema. Mimi wanamnziki wengi siwafahamu. Siyo fun sana wa hiyo industry plus bongo movie.
Sasa Ruge hayupo wang'are kwenye hivyo vipaji vyao...Ruge mbaya sana kapoteza vipaji vingi sana kwa tamaa zake.
Moja YA kati ya nyimbo za GKSauti ya manka ndo nini ?
Do I Miss sth here? Tuseme tunakubaliana na hoja yako...Sasa Ruge si ametangulia mbele za haki?Ruge mbaya sana kapoteza vipaji vingi sana kwa tamaa zake.
Exactly...