Leo nimecheki hii movie ya kuitwa CRASH, kuna kipande kimenivunja mbavu hatari. Ni hivi; mama wa kichina anaingia mbio hospitali huku anapiga makelele Xiang Jiangxoooo! Xiang Jiangxooo! Xiang Jiangxooo! Sasa muuguzi anamsimamisha anamwambia," Calm down madame! Calm down. Do you speak english? ".
Mama wa kichina akasema,"I speak english, you stupid! I'm american. My husband his name is Xiang Jiangxo".
Majina ya kiluga nayo!