Hello wana jamvi Good morning
Kwanza kabisa nafurahi kuona matokeo NBAA yametoka vizuri, kwa wale ndugu zangu ambao mmefanikiwa kuvuka Module E na kuingia Module F nimewaandalia kitu kizuri
-ACCA Course notes for 2014/2015
-ACCA Past Exams (From June 2007 to June 2014)
-ACCA syllabus together with NBAA syllabus for 2014
-Books:
Audit & Assurance Books
Corporate Reporting Books
Performance Management Books
Mambo yote haya matamu yapo kwenye soft copy,na utaweza kuyapata bure kabisa.
Bonyeza Link kupata Mambo Matamu:
http://bit.ly/module_F
Enjoy!
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
MKUU kwa upande wa AUDIT, hiki kitabu cha F8 AUDIT AND ASSURANCE, kinafaa zaidi kwenye ile audit principles and practice ambayo ni intermediate Level, kama unaweza kupata kitabu cha P7 kimeandikwa ADVANCED AUDIT AND ASSURANCE, kinaweza sana kufaa kwa Final Level, please upload it if you have access to it!!
UKIPATA PIA NA VITABU VYA KAPLAN, SHARE THEM, THEY ARE NICE TOO!!
asante sana mkuu mm nimefuzu kupga final na nipo bukoba utakua msaada sana kwangu kama vp weka namba yako nikupe ata vocha umenitia moyo sana MUNGU akuzidishie sana unaroho nzuri
Lakin why module F tufanye matatu wakat FR tumeaulu? Na mbadala wa FR ni corporate report
Lakin why module F tufanye matatu wakat FR tumeaulu? Na mbadala wa FR ni corporate report