CPA kikwazo hela

CPA kikwazo hela

Bwege Hatari

Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
71
Reaction score
40
Mitihani migimu, bt sio tatizo, hapa kwenye Ada ndio tatizo mtu huna kazi unataka kujiendeleza unashindwa dahhh
 
Assistant Accountant wanatala CPA, kazi unapata wapi? Hapa pana mtihani kwakweli,
 
Tatizo lako una dhana ya kutaka kupata kazi ya maana ikiwa na maana unatamani kilicho nje ya uwezo wako unalalama na degree ya account wakati watu wana ajiriwa na diploma ya account! Ondoa hiyo dhana utafanikisha ndoto yako lasivyo utaendelea kubaki usingizini mkuu ukija huku mtaani yale maneno ya vimbwetani yaache"Mimi bila million 1 sifanyi kazi" kila la kheri huku ndo mtaani.
 
Ada ya cpa should be the least of your worries, mziki wa kuipata cpa ni shida mno mana zile pepa kuziclear inabidi ujitoe haswaaa!!!

Easy formula kupata cpa ni kufanya masomo ya magumu b5, b1, b4 na b2 mwezi novemba wanapolegezaga pepa then piga mepesi b6, b3, c4 na c2 may wanapokaza pepa, then malizia magumu c3 na c1 November wanapolegeza, Kinyume na hapo kutoboa hizi pepa ni ngumu sana aisee.

b5 somo wanalo carry wengi topic ya buckflush costing usiisome inapoteza mda, kwenye topics za decision making soma tu cpv na pricing nyingine acha, budgeting yote itandike , variance analysis yote itandike na mwisho kabisa topic ya mwisho hangaika na transfer pricing tu.

SOMA KAMA KICHAA, SOLVE PAST PAPERS ZA CPA TZ, CPA IRELAND, ACCA NA CA YA INDIA, NAKUHAKIKISHIA UTAPATA CPA YAKO SALAMA SALMINI
 
Mkuu suala la November na May halitabiriki tena.
 
Back
Top Bottom