S supu ya nguruwe Member Joined Sep 27, 2017 Posts 7 Reaction score 12 Sep 29, 2017 #1 Natafuta wa ku discuss nae CPA foundation level nipo maeneo ya Ngudu kwimba mwanza. haya mambo bila discussion hayaendi kabisa.....
Natafuta wa ku discuss nae CPA foundation level nipo maeneo ya Ngudu kwimba mwanza. haya mambo bila discussion hayaendi kabisa.....
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Sep 29, 2017 #2 Badili jina la humu, yani serious unajiita supu ya nguruwe? Unategemea muislam atatamn kudiscuss ba wewe?
Badili jina la humu, yani serious unajiita supu ya nguruwe? Unategemea muislam atatamn kudiscuss ba wewe?
nover JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 239 Reaction score 178 Sep 29, 2017 #3 Jerrymsigwa said: Badili jina la humu, yani serious unajiita supu ya nguruwe? Unategemea muislam atatamn kudiscuss ba wewe? Click to expand... Kama kweli mtu anataka kudiscuss wala hatajali jina
Jerrymsigwa said: Badili jina la humu, yani serious unajiita supu ya nguruwe? Unategemea muislam atatamn kudiscuss ba wewe? Click to expand... Kama kweli mtu anataka kudiscuss wala hatajali jina
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Sep 29, 2017 #4 nover said: Kama kweli mtu anataka kudiscuss wala hatajali jina Click to expand... Nakuhakikishia sisi waislam ni haram hata kukaa karibu na mzoga au mfupa wa nguruwe. Ukipata watakua wakristo mnaoshiriki nao nguruwe
nover said: Kama kweli mtu anataka kudiscuss wala hatajali jina Click to expand... Nakuhakikishia sisi waislam ni haram hata kukaa karibu na mzoga au mfupa wa nguruwe. Ukipata watakua wakristo mnaoshiriki nao nguruwe
nover JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 239 Reaction score 178 Sep 29, 2017 #5 Jerrymsigwa said: Nakuhakikishia sisi waislam ni haram hata kukaa karibu na mzoga au mfupa wa nguruwe. Ukipata watakua wakristo mnaoshiriki nao nguruwe Click to expand... Sio jina lake halisi wala
Jerrymsigwa said: Nakuhakikishia sisi waislam ni haram hata kukaa karibu na mzoga au mfupa wa nguruwe. Ukipata watakua wakristo mnaoshiriki nao nguruwe Click to expand... Sio jina lake halisi wala