Coyesa company limited

Coyesa company limited

Babu Maziku

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
34
Reaction score
27
*Coyesa company limited*
Tunachora ramani za nyumba, makanisa, ukumbi, sheli, shule, vyuo, hostel, n.k

Ujenzi kama Wakandarasi.

Ukadiriaji Ujenzi (Cost Estimations) /(BoQ).

Tunachimba Visima na Mabwawa.

Tunapima viwanja na ku-process hati.

Tunatoa ushauri na usimamiaji wa maswala ya Ardhi, Mipango miji.

Uthaminishaji wa Mali(Property Valuations).

Environmental Impacts Assessments(EIA).

Environmental Auditing.

Tunatoa huduma za IT yani: Web design, IT security, Computer maintenance, Programs Installation, System Design.

Tuna-supply mashine na vifaa vya maabara, furniture za hospitalini, mashine za hospital, vifaa vya hospitali.

Coyesa company ltd wapo kwa ajili Yako.

*makao makuu*
⏯MIKOCHENI B ILEJE STREET JIRANI NA CLOUDS FM karibu na Academic International School

⏯Kanda ya Kati
Chamwino Ikulu Dodoma - Jirani na office ya zamani ya idara ya Maji kulekea barabara ya TANESCO

Kwa mawasiliano zaidi
Tembelea tovuti yetu
www.coyesa.co.tz

Email:info@coyesa.co.tz
0713989656
0782151288
0759612743
~one company,many solutions ~
KARIBU
1472063825290.jpg
[/IMG]
 
Mkuu kuhusu kisima, mita 1 mnachimba bei gani? Na mkichimba mnafungia mteja kila kitu? kama ndiyo gharama za kukamilisha hadi kisima cha mita 85 ni sh. ngp?
 
mkuu mimi naomba kazi hata ya kujitolea katika kampuni yenu imenivutia sana..
 
Mkuu kuhusu kisima, mita 1 mnachimba bei gani? Na mkichimba mnafungia mteja kila kitu? kama ndiyo gharama za kukamilisha hadi kisima cha mita 85 ni sh. ngp?
Mita1@80,000/=Tshs. Sisi Tunatoa Huduma zifuatazo
1.Tunachimba kisima.
2.Tunapima Uwezo wa kisima(pump testing)
3.Tunasafisha kisima
4.Tunaweka pump na mabomba
5.lab testing
Kila kimoja kina gharama zake.
Kwa Hizo mita85 inaweza fika hadi mil10 kufanya kila kitu.
 
Mnatumia muda gani hadi ku process hati?
 
Mnatumia muda gani hadi ku process hati?
Eneo likishapimwa ndio process za hati zinaanza, na wanaotoa hati ni wizara wa ardhi kupitia halmashauri, siye kazi yetu ni kusaidia kufanya hayo yoote, ilq hati wizara ndio inatoa kwa viwanja vilivyopimwa tayari
 
Back
Top Bottom