Covid-19 squad wamemmind Jamaa

Mbona hawa akina coona wana rangi ya kijani
 
hii team nina mashaka nayo maana kila mmoja jicho nyanya inaonekana wanapiga mmea kwanza ndo wanaanza michakato ya kula vichwa, kwa walivyo na bidii iko siku watamkuta tu mzee meko bila yeye kujua
Naisubiri hiyo siku Mungu atuwezeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…