Kichumini
Member
- Jun 7, 2016
- 90
- 106
Habari za jioni wandugu,
Wakati serikali ikiendelea kujitafakari hatua za kuchukua juu ya Corona, tayari kuna baadhi ya sehemu zimesha athiriwa moja kwa moja. Zifutazo ni baadhi ya sekta zinazolia na kuumizwa na huyu mgeni Covid-19.
1. SEKTA YA ELIMU
Wafanyakazi katika hii sekta, especially kwenye sekta binafsi tayari ni kilio. Kuna baadhi ya shule binafsi bila hata kujali mikataba ya wafanyakazi wao mwezi wa tatu hawakulipwa mshahara kabisa. Na hata baadhi waliolipa walilipa pungufu ya mshahara halisi. KILIO TAYARI HUMO .

2. SEKTA YA USAFIRISHAJI
Baada ya serikali kutangaza "level seat" kilio kimetanda katika sekta hii, baadhi ya wamiliki wa vyombo vya usafiri wa uma wameamua ku park vyombo vyao kutokana na mapato kiduchu. Hapa tayari tunaona ukosefu wa ajira kwa vijana wengi ambao walitegemea hii sekta kama chanzo cha ujira. MAJANGA

3. SEKTA YA UTALII
Huku bado tukijadili report ya CAG juu 2.5Bn bado kwenye sekta hiyo kuna kilio. Wadau wote i mean wote wa sekta ya utalii wamelizwa na Covid-19. Tulimsikia Manager wa TRA Kilimanjaro akisema wafanyabiashara zaido ya 600 wamepeleka maombi ya kufunga biashara na wengi ni wadau katika sekta ya utalii. Taifa lime na linaenda kupoteza mapato zaidi kama hali haitatengamaa. Ajira nyingi sana zinapotea na watu ni kilio tu. KIRUUU

4. SEKTA YA BURUDANI
Huku nako tayari ni kilio, Diamond tunajua alikatisha Europe tour yake coz ya Covid-19. Sekta hii imeajiri watu wengi sana, kwa sasa watategemea mauzo ya kazi kwa mtandao kupata hela. Lakini tunajua chanzo chao kikuu cha mapato ni shows. Covid-19 imezuia shows zote kufanyika na hii imeacha kilio kikubwa ndani ya sekta hii. KILIO

5.
Leteni nyingine ....
Sent using Jamii Forums mobile app