Cousrse zenye tija 2025

Cousrse zenye tija 2025

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,546
Reaction score
4,325
Habari wakuu, mwenye kujua course ambazo mtu ni wepesi kujiajiri na kupata kazi hata kabla hajamaliza kusoma na baada ya kumaliza kusoma kazi ni uhakika. Nitaanza na baadhi ambazo nazifahamu.
1. Course za computer zote.
2. Interior designing ipo ardhi.

Nyngne mtaje wakuu tusaidie vijana pamoja na za arts mnazofaham
 
_Udereva
_Entrepreneurship
_Uchomeleaji
_Fundi Bomba nk
 
Kwa kina dada coz za saluni pamoja na upambaji utapiga hela usije sema hujaambiwa ukaenda kupiga mambo yako ya bachelor in education with science in arts ukaja kutulilia humu 2028
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom