george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
Wakuu samahani naomba niwasumbue kidogo...! Naomba mnitajie courses za kusoma chuoni kwa masomo ya arts....hgl,hkl na hgk..?"!
watanzania ujuaji mwingi wakati zero brain kama huwezi kamsaidie mamako kuosha vyombo..we acha ungese chukua tcu guide book ujisomee mwenyewe