Course zipi zimesheheni sana hadi sasa....vp Computer Science, Information technology, information systems, nk kwa baadhi ya vyuo!Wakuu najaribu kujiuliza ni kwa nini course za engineering naona waombaji wachache?.
Has a ukizingatia zile course zilizopo cluster 1,ambazo zinakipaumbele kikubwa cha mkopo mpaka sasa sioni waombaji wakiziomba?.
Mfano Water system and irrigation engineering ipo vyuo viwili tu ambavyo ni Sua na WDMI(chuo cha maji ubungo),na kuna kipaumbele kikubwa cha mkopo saw a na course za afya lakini nikiangalia waombaji online mpaka sasa niwachache kiasi kwamba hata 80 hawafiki.
Ukiangalia pia Petroleum and gas engineering waombaji pia niwachache ingawa inatolewa vyuo vitatu tu,ambavyo ni Udsm,DIT,Udom.
Course zile za cluster 2 ambazo pia zinakipaumbele cha mkopo,zina watu wachache pia.Course kama Mechanical,Civil,Electrical,Mining zina watu wachache pia.
Sasa najiuliza au kwa vile muda wa kuaply bado nimkubwa wataongezeka kadri muda uedavyo.Lakini chakustajabisha siku mbili za mwanzo course kama Water priority namba one chuo cha maji walikuwa watu 67,lakini ukiangalia sasa wapo kama 26,the same na kwa Sua walikuwa zaidi ya watu 71 lakini ukiangalia kwa sasa wapo watu kama 50.
Nikifatilia trend ya mwaka jana muda kama huu course za engineering zilikuwa zina watu wengi wanalio apply tofauti na mwaka huu.
Nimelezea course chache lakini kiujumla engineering hazina watu kabisa ukilinganisha na miaka mitatu iliyopita.Lakini ngoja tuendelee kusubili kadri muda unavyoenda.
Ndo tunakoelekea kuwazika wanasayansi na wataalam mbalimbali rasmi...kwa mfumo huu tegemea kuanzia 2019 kila mtu anasoma arts pekee yake ili atusue pointi 4....unadhani ni wise kiongozi eti sio lazima kila mtu aende chuo kikuu! Nope! Big Nope!Mkuu hili linafaida gani au hasara gani kwa taifa?.
Mimi huwa sielewi pale mnapopima usomi na uwezo wa mtu kwa ufaulu wa darasani ambao unakuwa determined kwa siku moja. Hebu jaribuni kunielewesha labda siku moja nitaelewa. Mitihani ya Kidato cha nne na sita hapa kwetu inapima ni nani aliyekariri maswali mengi na si nani aliyesoma vitabu vingi. Usomi wa kuhangaika na past papers na si vitabu.Yaa inawezekana vipaumbele vya serikali vimebadilika katika elimu.Sio kupata tena wanasansi wengi Bali wasomi wengi?.
Duuuu....umemalizia kibingwa eti aliyekariri maswali mengi na si nani aliyesoma vitabu vingi. Usomi wa kuhangaika na past papers na si vitabu! Kweli we mnaa.....daaaa ila big thinker!Mimi huwa sielewi pale mnapopima usomi na uwezo wa mtu kwa ufaulu wa darasani ambao unakuwa determined kwa siku moja. Hebu jaribuni kunielewesha labda siku moja nitaelewa. Mitihani ya Kidato cha nne na sita hapa kwetu inapima ni nani aliyekariri maswali mengi na si nani aliyesoma vitabu vingi. Usomi wa kuhangaika na past papers na si vitabu.
Nilichosema si majungu, yeyote anayejua vizuri mfumo wetu wa elimu atakubaliana na mimi. Mwanafunzi shuleni hafundishwi kupata maarifa kuhusu anachokisoma ila anaandaliwa ili afaulu mitihani ya kitaifa. Tayari inafahamika NECTA huwa wanachomoa maswali yaliyopita katika mitihani mingine kama yalivyo. Mtu anahangaika na mitihani iliyopita. Hivi idea za vitabu vya review za mitihani unadhani lengo lake ni nini? Hivi unategemea nini kwa mtu anayefanya swali huku akiwa na jibu lake pembeni?Duuuu....umemalizia kibingwa eti aliyekariri maswali mengi na si nani aliyesoma vitabu vingi. Usomi wa kuhangaika na past papers na si vitabu! Kweli we mnaa.....daaaa ila big thinker!
Chukua like mkuu!Nilichosema si majungu, yeyote anayejua vizuri mfumo wetu wa elimu atakubaliana na mimi. Mwanafunzi shuleni hafundishwi kupata maarifa kuhusu anachokisoma ila anaandaliwa ili afaulu mitihani ya kitaifa. Tayari inafahamika NECTA huwa wanachomoa maswali yaliyopita katika mitihani mingine kama yalivyo. Mtu anahangaika na mitihani iliyopita. Hivi idea za vitabu vya review za mitihani unadhani lengo lake ni nini? Hivi unategemea nini kwa mtu anayefanya swali huku akiwa na jibu lake pembeni?
Nafikiri hukunielewa vizuri,usomi sio mtihani mmoja wakumpima mwanafunzi ndani ya siku moja.Mimi huwa sielewi pale mnapopima usomi na uwezo wa mtu kwa ufaulu wa darasani ambao unakuwa determined kwa siku moja. Hebu jaribuni kunielewesha labda siku moja nitaelewa. Mitihani ya Kidato cha nne na sita hapa kwetu inapima ni nani aliyekariri maswali mengi na si nani aliyesoma vitabu vingi. Usomi wa kuhangaika na past papers na si vitabu.
Wahandisi uchwra tayali mnao kwenye kada ya uhandisi.Miaka miwili imepita imejaza wahandisi wengi wasio na uwezo,jaribuni labda kuwafata vyuoni muwafukuze kitu pia msichokiweza kukifanya.Hatutaki kuwa na wahandisi uchwara, hivo tunafanya mchujo mkali sana. Asanteni
Sio kweli mkuu kama unavigezo unaruhusiwa kabisa bila mawaa.Eti n kwl hawa watainiwa wa kujitegemea {(PC) form six mwaka} huu hawaruhusiwi kuomba course za sayansi na education
Asante mkuuSio kweli mkuu kama unavigezo unaruhusiwa kabisa bila mawaa.
Ni kweli ulichoandika. Ila nitatetea hoja yangu ya kuhusu vitabu. Elimu na maarifa yanapatikana katika vitabu, hili la kuyatafsiri maarifa hayo katika uhalisia ni matokeo ya mifumo yetu ya elimu. Haimjengi kupata maarifa bali kusoma kwa ajili ya mitihani. Unakuta shule ina utaratibu wa mitihani kila wiki, unatarajia mwanafunzi atafanya nini zaidi ya kujiandaa kimtihani zaidi. Walimu nao hawana namna nyingine ya kuwaandaa wanafunzi ili wafaulu mitihani yao ya mwisho. Kwa mfano, mtaala wa masomo ya sayansi A-level siyo rafiki kabisa. Inabidi mtu ajikite kwenye mitihani tu.Nafikiri hukunielewa vizuri,usomi sio mtihani mmoja wakumpima mwanafunzi ndani ya siku moja.
Pia kusoma vitabu vingi huo pia sio usomi,unaweza kuwa unasoma vitabu vingi lakini mwisho wa siku hakuna kinachobaki kichwani.Kwangu Mimi usomi ni ile hali yakujitambua na kupambana na mazingira katika maeneo yanayokuzunguka.
Usomi pia nihali yakupeleka maandishi yaliyopo katika vitabu katika maisha halisi.Msomi hatambuliwi au kuonekana kwa idadi ya mitihani au vitabu.Msomi anatambuliwa kwa kuonyesha kile alichokipata darasani kukiweka katika maisha halisi yajamii.
Mtihani pia nimuhimu kuwapima wanafunzi,ingawa mtihani hauonyeshi elimu stahiki(kuelimika,usomi) wa mlengwa.Lakini hulka za wanafunzi wengi wakiafrika husoma kwa bidii na juhudi pale wanaposikia mtihani.
Ndo tunakoelekea kuwazika wanasayansi na wataalam mbalimbali rasmi...kwa mfumo huu tegemea kuanzia 2019 kila mtu anasoma arts pekee yake ili atusue pointi 4....unadhani ni wise kiongozi eti sio lazima kila mtu aende chuo kikuu! Nope! Big Nope!