Course ya procurement and supply na soko la ajira. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Course ya procurement and supply na soko la ajira.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Uncle dan, Aug 21, 2011.

 1. Uncle dan

  Uncle dan Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamii naomba mnifahamishi juu ya upatikanaji wa kazi endapo utakuwa umesomea BPS/DPS (BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPLLY OR DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY) kwa hapa TZ na nimashirika yapi ya nahitaji watu kama hawa,naomba ushirikiano wenu.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Msoto ni ule ule 2 mkuu,hakuna cha nin wala nin?otherwise uwe kwenye system ya magamba.
   
Loading...