Course ya Long Distance Learning ipo vipi?

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,710
Wakuu,

Naomba msaada wa kujua masomo ya distance learning ndio inakuwaje??? Inahusisha masoma ya aina gani na mtu anaweza soma vipi? Ina uzito wowote katika maeneo ya kazi ama inatambulika na taasisi mbali mbali? Totauti yake nini kusoma hio na kusoma kabisa darasani? mtu unaelewa kabisa kama uko darasani???:redface:


Natanguliza shukrani.
 
nyie watu hamna aliyesoma course yoyote kwa distance learning......ilikuwaje...share experiences zenu....:sleepy::sleepy::sleepy:
 
Back
Top Bottom