Dkt William ni baba na nusu mwaka wetu alituvuta wote mpk tukafikia 16 kila mtukakutane na dkt William cp Wa udsm anasapisha hatari
short course bei gan iyo?Soko ni kubwa sana kwa mfano mwezi huu tanesco wamechukua zaidi yawatu 100 na bado wamepugukiwa wametangaza tena.
nenda chuo cha maji pale wanatoa shortcourse
cheki hapo zote zinachukua wiki moja mpk mbiliView attachment 1609758472-20201213_ShortCourse_.pdfshort course bei gan iyo?
Vp mkuu kuhusu ada yao na couse itagalimu mda ganicheki hapo zote zinachukua wiki moja mpk mbiliView attachment 1960884
Course #21 na 41 zitahusika hapo.Vp mkuu kuhusu ada yao na couse itagalimu mda gani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app