Course ya environmental science

Course ya environmental science

ndyetabura

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Naomba Mwenye kujua kazi ya environmental science zinapatikana kwa kiasi gani na sekita gani anijuze
 
Very minor i need the answer kuna bachelor of science in envernmental studies /Science
 
Naomba Mwenye kujua kazi ya environmental science zinapatikana kwa kiasi gani na sekita gani anijuze
Niseme kwa upande wangu hiyo ya SUA, Bsc of environmental science and management
Hapo unaweza Fanya kazi ofisi nyingi sana serikalini mfano
.Nemc
.wizara ya mazingira
.halmashauri
.ofisi ya mkemia mkuu
.TFDA
.TBS
.wizara ya madini
.TMA...Tanzania Meteorological Agency
.mamlaka ya hali ya hewa viwanja vya ndege
.OSHA
Pia sekta binafsi zipo sehemu nyingi mfano
.migodini
.mashirika mbali mbali mfano world vision na mengne yahusuyo mazingira n.k
Kumbuka kupata ajira hasa siku hizi swala ni kuwa na connection GPA au chuo gan umesoma si ishu, swala nani anakujua na wapi kuna connection
 
Asante sana mm nina degree tayar inataka nisome open degree ya environmental science
 
Nina degree ya elimu upande wa geography kama somo now nataka nichomoke kwa njia ya environmental science
 
Nina degree ya elimu upande wa geography kama somo now nataka nichomoke kwa njia ya environmental science
Oooh, hapo sawa mkuu wacheki tu open university natumaini itakuwepo
 
Sawa nimwacheki course environmental technology, management nk. Course zote nimeona nilisoma kwenye geography so nianze kufuatlia application zao huw ni mda gani nasoma taratibu huk nkiwa na kaz yang ya ualimu
 
Back
Top Bottom