Course ya biashara

Course ya biashara

hames amos

Member
Joined
Feb 24, 2019
Posts
9
Reaction score
2
Natamani kuwa mfanyabiashara nakusomea ila paka saiv sijui Nita apply nisome course gan chuo maana nimehitimu kidato cha NNE 2018 Nina dv3 ya22 Nina credit masomo yote but pass ya math na physics F naombeni ushauri kuhusu course nzur itakayo nipa Uhuru wakua mfanyabiashara au kudeal na mambo ya kibiashara..ahsanteni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Business administration

Inaniuma sana kuona mtu anapata F physics
 
Natamani kuwa mfanyabiashara nakusomea ila paka saiv sijui Nita apply nisome course gan chuo maana nimehitimu kidato cha NNE 2018 Nina dv3 ya22 Nina credit masomo yote but pass ya math na physics F naombeni ushauri kuhusu course nzur itakayo nipa Uhuru wakua mfanyabiashara au kudeal na mambo ya kibiashara..ahsanteni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara haifundishwi darasani sanuka mkuu,

Chukua mtaji angalia mazingira na watu wanaokuzunguka wanataka nin wahudumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom