Kwanini AMO irudishwe? Ilikuwa ni crush course kutokana na uhaba wa MD's lakini kwasasa hakuna uhaba huo. AMO ya nini tena?Hivi kozi ya AMO inarudishwa lini kwa mwenye taarifa,,,na hua inatolewa vyuo gani..?
Kuna tetesi nimeziskia kua mwaka wa masomo 2023/2024 chuo cha tanga watatoa..Kwanini AMO irudishwe? Ilikuwa ni crush course kutokana na uhaba wa MD's lakini kwasasa hakuna uhaba huo. AMO ya nini tena?
Kwa Tanzania yetu lolote linawezekana. Muda ni mwalimu mzuri.Kuna tetesi nimeziskia kua mwaka wa masomo 2023/2024 chuo cha tanga watatoa..
GPA minimum 2.7,experience 2years.Wazee ivi criteria za kujiunga AMO currently zikweje ? Ikiwa ni pamoja gpa nk.
Imerudishwa?GPA minimum 2.7,experience 2years.
Ndyo imerudishwa na nafikir Ifakara ndo wameanza kuchukuaImerudishwa?
Je unajiungaje au unaenda kwenye chuo husika , mwenye contact za pale anichek inbox wazeeGPA minimum 2.7,experience 2years.
Search chuo husika utakuta namba zaoJe unajiungaje au unaenda kwenye chuo husika , mwenye contact za pale anichek inbox wazee
Are you sure with your statement?Ndyo imerudishwa na nafikir Ifakara ndo wameanza kuchukua
Yes 100%Are you sure with your statement?
Pitia hapa kwenye hii link utawakuwa na wameanza kupokea mwaka huuAre you sure with your statement?
www.ttcih.ac.tz