Course of veterinary medicine in SUA

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
198
Reaction score
214
Samahani huku kote ni kutaka kufahamu kiundani course hii inayotilewa na SUA ,hivi SUA wanahitaji point ngapi ili kuweza kuisoma hii course?

Kwasababu Mimi nimemaliza mwaka huu advance na nimepata C both kwenye chemistry na biology he nikiapply naweza kuipata au nitaikosa?maoni yenu wadau wa elimu
 
Uipate au uikose Ila mziki wake sio wakitoto alafu ajira yake nayo ni mziki mwingine 😂😂😂😂 yaani CD JUU YA CD chagua mwenyewe
 
Uipate au uikose Ila mziki wake sio wakitoto alafu ajira yake nayo ni mziki mwingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani CD JUU YA CD chagua mwenyewe
Vipi we umekiwasha hiyo course au umesikiliza yakuambiwa
 
Uipate au uikose Ila mziki wake sio wakitoto alafu ajira yake nayo ni mziki mwingine 😂😂😂😂 yaani CD JUU YA CD chagua mwenyewe
😆😅😄😃😂😁😀😂😂😁😁
 
Achana hiyo course huwezi chaguliwa,sio kwamba huna vigezo Bali competition itakutoa out.
 
Utateseka chuon na utateseka mtaani pia, achana na huo uchafu. Kama unataka kwenda SUA kapige Nutrition, hii kwasasa inaenda kuwa marketable maana serikali tayari wapo njian kuja na mpango mkakati kuhusu lishe maana Malnutrition(Overnutrition) imeanz kuwa tishio hasa miji mikubwa, ukikosa hiyo kapige Food Science and Technology kwasababu Viwanda vyote vya chakula na Vinywaji wanahitajika hawa watu, huwa wanaitwa Food Scientists, hutaki huko kote kapige Agriculture General, ila km wew unajifanya nunda bisha then utasaga meno.
 
Nilishamwambia huko juu kajiona anaweza hajui sio tuliocheza michezo ya utoto na baba yake tunajua zaidi yake😳😳😳🏃🏃🏃
 
Wewe apply tu mkuu hamna mtu atakupa jibu sahihi la swali lako maana sisi walimu wa Vet!! Kwa kifupi inategemea ushindani ukoje, wewe apply tu maana kuapply sio dhambi!!

Ila Kama unajijua wewe ni mvivu usiyependa kusoma usiende kusoma hiyo utaumbuka.
 
Niko na manual ya Vet huwa naipitia pitia. Kwa misamiati ninahokutana nayo mule, vet mziki wake sio wa kitoto.
 
Dah!!!!broh hapa umenipa point za msingi asante sana
 
Hyo kozi ni heavy kijana,, ukija hapa SUA sahau kula bata kabisa japo kozi zote hapa especially Sciences ni ngumu ila hiyo ni balaa kama ulizoea kulala masaa zaid ya 8 basi ukija huku inabidi ulale chini ya 4...
Kila kila kheri, karibu SUA but kumbuka hapa C yetu inaanza na 50+
 

Mm kama graduate ,Nakuunga mkono ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…