Soma Animal Health and ProductionOldinary Diploma in
Animal Health and Production
Agriculture in General
Computer Science???
Hii inakua tofauti na IT?Soma computer science
Shukran kwa Ushauri wakoSoma Animal Health and Production
hiyo ni bora zaidi maana unafanya kazi zote hata za ITHii inakua tofauti na IT?
Hiv Hii Inakua ina base na Kilimo tu au Pia na Wanyama??Agriculture in general,!!
Ok! Nashukuru sanahiyo ni bora zaidi maana unafanya kazi zote hata za IT
Agriculture in general it deals with those things such as cultivating and producing crops also keeping animals. So keep it up and unaweza kujiari mwenyewe after studies.Hiv Hii Inakua ina base na Kilimo tu au Pia na Wanyama??
Thanx kwa Ushaur wakoAgriculture in general it deals with those things such as cultivating and producing crops also keeping animals. So keep it up and unaweza kujiari mwenyewe after studies.
Mkuu upo sawa, kumbuka agriculture ina matawi matanoAgriculture in general it deals with those things such as cultivating and producing crops also keeping animals. So keep it up and unaweza kujiari mwenyewe after studies.
Sorry unaweza kutaja vyuo ambazo course hzo zipo?Oldinary Diploma in
Animal Health and Production
Agriculture in General
Computer Science???
Soko la ajira kwa kozi ya kompyuta sayansi lipoje?[/QUOTE]Ajira E="onyx, post: 20403218, member: 358137"]hiyo ni bora zaidi maana unafanya kazi zote hata za IT
Ndo hivyo ila vpo vngi 2Sorry unaweza kutaja vyuo ambazo course hzo zipo?
Kilimo ndio mpango kwa sasa and it is easiest way to invest anaweza kudeal na crops and animals only and leave other branches. It is really payable m telling you my friends....Mkuu upo sawa, kumbuka agriculture ina matawi matano
-Crop production
-Livestock production
-Soil science
-Agroeconomy
-Agromechanics
Sasa kwa hali ya sasa katika hayo matawi, ataweza kujiajiri katika tawi lipi. Mi nikiangalia hapo kote kwa hali ya sasa kunahitaji mtaji mkubwa. Bora computer science anaweza akajiajiri