skilled masala
Senior Member
- May 2, 2019
- 117
- 160
Habari wadau mimi Nimehitimu kidato cha 6 mwaka 2018 Mchepuo wa H.G.L Ufaulu wangu wa kawaida sana Nina 12 yenye "D" flat Mwaka jana nilibahatika kuchaguliwa pale Udsm course ya philosophy and Ethics Lakini sikubahatika kupata mkopo kitu kilicho nifanya nishindwe kuendelea although mimi Lengo langu ilikuwa kusoma moja Kati ya hizi course JOURNALISM au HUMAN RESOURCE Naomba msaada course
Nzuri Kati ya hizo na chuo ninachoweza kuisoma kwa alama zangu
Ikiwa chuo kipo DAR nitapendekeza sana
Ikiwa kipo nje ya DAR sitapendekeza sana
Msaada wenu.
Nzuri Kati ya hizo na chuo ninachoweza kuisoma kwa alama zangu
Ikiwa chuo kipo DAR nitapendekeza sana
Ikiwa kipo nje ya DAR sitapendekeza sana
Msaada wenu.