Couples za JF ni hizi...!

Mi nampenda Cheusimangala wakuu mnasemaje hapo?
 
i love u 2 lkn naogopa kutolewa roho hivyo nihurumie mwana wa mwenzio naomba hifadhi ya roho yangu kwako napiga magoti.hujambo lkn.

Thanks mummy wakukutoa roho hapa hayupo kuwa free tu.
Nimefrahi sana kuwa na amani na huru.
 
basi na mm nataka kumchagua wangu,nampenda mpenda,semeni naniiiii?
 
paka jimy na shishi.
 
Hujanisahauu kweli??
 
Jesus!
You guys, unless if you are not serious...nitamweza wapi mimi Pearl?..mi namhisi kama yuko naniliu sana![/QUOTE]

ndo kuwaje hapo biggy???? mi sijaelewa bana............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…