Quote:
Geoff: ni mtu mnene,mrefu,mpole,mcheshi
Xpin: mtundu,mchokozi,mcheshi
kaizer: mchokozi,mcheshi,mrefu,mwembamba
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
Masaki :mcheshi,mkaka
Ngoswe: mcheshi,mpenda kabila lake,anapenda kusoma
Pearl....easy to befriend, loving and caring, prety, hard working
Lily Flower.....dah mpole, wise (listens more n talks less), heshima sana
Akili kichwani: mkorofi,mtukanaji,mropokaji
Kigogo.....babu asopenda shida, anadharau mambo mengi (hana stress) Mwanakijiji: mpenda maendeleo,haogopi kusema ukweli yuko tayari kufa kutetea taifa lake,anaipenda familia yake ya Tanzania
Paka jimmy: mpole mpenda dini,anaheshim maamuzi ya watu hata kama yy ataonewa
WOS: mdada,mmama,mwalimu ,mwanafunzi yuko tayri kujifunza kushirikiana na wenzie
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.
Shishi :mpole lady to become a woman,caring
Boss ; bossy, anajiamini, mpole, caring, selfless, mpenda starehe (lakini baada ya kazi), anapenda mademu huko ofisini kwake naona kawamaliza.
Pretta: mpole,mpenda maendeleo,mvumilivu
Jamani, na sifa zote nilizomwagiwa hapo, mnashindwa kabisa ku-propose couple?
Bwabwa apewe nani kati ya BHT, Lily flower, WoS,Pretta,Shishi, nk?... NAHISI SIJAWAKWAZA!
kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Bado nitaendelea.......
Invizibo na Bht!
Katavi na Birigita
Xpin na pretta, makofi tafadhali..... very good couple.
Baba Enock na Lily Flower
Opss sorry wifi I meant kaizer na Preta, mambo mengi.Lily flower wifi yangu,mbona unataka kumpa mchumba wangu pretta? unanisaliti wifi yako?
Toka jana nachokozwa humu JFwanataka kututenga.
Jamani CHRISPIN & CHARITY are couples a long time ago,msituingilie na mapenzi yetu
Nimekwazika, sorry if nitakukwaza.Bwabwa apewe nani kati ya BHT, Lily flower, WoS,Pretta,Shishi, nk?... NAHISI SIJAWAKWAZA!
Lol mm sina couple
Naona bado watotoz wananiogopa kabisa
Opss sorry wifi I meant kaizer na Preta, mambo mengi.
Nimekwazika, sorry if nitakukwaza.
wewe shem tunakupatia maria roza
wewe shem tunakupatia maria roza
Niwie RADHI bht... SIKUKWAZI TENA!D umetukwaza tena sana bana......................
jamani nyie wana jf mna vijimambo!hahaa
Nimekwazika, sorry if nitakukwaza.
Jesus!
You guys, unless if you are not serious...nitamweza wapi mimi Pearl?..mi namhisi kama yuko naniliu sana!
Niwie RADHI bht... SIKUKWAZI TENA!
i love u 2 lkn naogopa kutolewa roho hivyo nihurumie mwana wa mwenzio naomba hifadhi ya roho yangu kwako napiga magoti.hujambo lkn.Unajua Cheusimangala kupitia hii sredi natamka wazi huwa unauumiza moyo wangu i realy love you mweh nihurumie mwana wa mwenzio naomba hifadhi ya moyo wangu kwako napiga hodi.