Duh afadhil fujo za mchina Kariakoo sasa zipungue, uanaweza kukuta simu imeandikwa Nokia N92, FM stereo vilevlie imeandikwa Bluetooth halafu unakuta mtanzania na yeye ananua kifua mbele kwamba hii ndio simu. Nokia bora njoo utuondolee utata kwa watanzania kuhusu Nokia products.