Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,677
- 134,391
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine hata wafanye nini, hawafukuziki na hawatumbuliki kwa sababu, waliteuliwa kwa sababu na sio waliteuliwa tuu!. ...Ummy ni mmoja wao!.Kuna uwezekano mkubwa Waziri wa Afya Dr Ummy Mwalimu akafukuzwa kazi na nafasi yake kujazwa na Dr Hamis Kigwangalla kwa kumdanganya Rais kuhusu uhaba wa dawa hospitalini.
Tukumbuke kwamba Rais alimfuta kazi Anne Kilango kwa kumdanganya kuhusu wafanyakazi hewa. Itakuwa ni ajabu sana ikiwa Magufuli ataacha kumfuta kazi waziri huyu kwa kumdanganya kwa makusudi. Akishindwa kufanya hivyo basi amrudishe Kilango kwenye nafasi yake, vinginevyo tutajua alimfuta kazi mama Kilango kwa chuki binafsi.
Nawasilisha.
Pasco unataka Mhe. Rais Magufuli aendelee kufukuza mpaka lini kwani Mwenyezi Mungu ameumba kila mwanadamu na mapungufu yake.Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .
Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kumlalamikia double standards katika zoezi hili.
Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine. ...Ummy ni mmoja wao!.
Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Pasco
Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .
Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kuilalamikia double standards katika zoezi hili.
Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine. ...Ummy ni mmoja wao!.
Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Pasco
Kwanini Umi hatumbuliki???.....
Where we dare talk openlyCampign Manager wa Mama Makamu
Thanks Tetty.......kusoma namba kunaendeleaCampign Manager wa Mama Makamu
Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...Ummy Mwalimu anapaswa kufukuzwa mapema sana. haiwezekani hakuna madawa muhimu na yeye anachekacheka tu
Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...
PESA YA DAWA NA MAHITAJI MENGINEYO MUHIMU MKULU KAAGIZA IMENUNULIA NDEGE....BOLD AND CLEAR....KUCHAGUA NI
KUPANGA NA KUPANGA NI KUAMUA....sioni
kosa la ummy mwalimu wala ummy
mwanafunzi hapo.
Kosa la dummy sio dawa kukosekana?
Kosa la ummy ni kudanganya uma kuwa dawa zipo ilhali anajua. Dawa haxipo?
PIA KAMA MAMA KILANGO ALIKOSEA MBONA UHAKIKI WOTE ULIKOSEWA NA KILA SIKU WANARUDIA ..... BADO NAAMINI KUTIMULIWA KWA MAMA KILANGO NI ZAIDI YA UHAKIKI.
Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...
PESA YA DAWA NA MAHITAJI MENGINEYO MUHIMU MKULU KAAGIZA IMENUNULIA NDEGE....BOLD AND CLEAR....KUCHAGUA NI
KUPANGA NA KUPANGA NI KUAMUA....sioni
kosa la ummy mwalimu wala ummy
mwanafunzi hapo.
Umy kosa lake kuwatangazia uma Kuwait dawa
Zipo ilhali dawa hakunahakunaKAMA MAMA KILANGO ALIKOSEA MBONA UHAKIKI WOTE ULIKOSEWA NA KILA SIKU WANARUDIA ....
. BADO NAAMINI KUTIMULIWA KWA MAMA
KILANGO NI ZAIDI YA UHAKIKI.
Kudanganya nini. ...hizo dawa ni mpya? Mbona toka enzi za nyerere hatukuwahi kuzikosa....hapa NI missallocation of resources na hasa financial resources....ndege na dodomya.Umy kadanganya uma atumbuliwe
Umy kosa
Nadhani kumtumbua Mama Ummy ni kumwonea bureee.
Fedha zimeelekezwa Idodomya,Ndege,kuhakiki vyeti,kuhakiki wafanyakazi hewa suala la dawa litakuja baadae kupanga ni kuchagua tumechagua kwanza hayo mengine baadae.