President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,796
- 94,581
| Country | Cost | in USD |
| Kenya | 23.47Ksh | $0.23 |
| Tanzania | 100.0Tsh | $0.043 |
| Uganda | 250.0 Ush | $0.067 |
| S. Sudani | ||
| Rwanda | 182 Franc | $0.20 |
| Burundi | ||
Umeme ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya nchi.
Leo ningepeda tujadili bei za umeme kwa unit(kWh)
Tujadili kwa kina na kisha tueleze kwanini bei zinakuwa hivyo.
Hata hivyo tunatakiwa tujadili kwa undani kabisa chanzo kipi cha umeme kinakuwa cha bei nafuu kuliko kingine.
Basi ninaanza kama ifuatavyo:-
Source of Information:
Country Cost in USD Kenya 23.47Ksh $0.23 Tanzania 100.0Tsh $0.043 Uganda 250.0 Ush $0.067 S. Sudani Rwanda 182 Franc $0.20 Burundi
Kenya
View attachment 1247829
Electricity cost in Kenya
Current and historical information about the cost of electricity in Kenya, for domestic and industrial consumers.stima.regulusweb.com
Tanzania:
View attachment 1247830
Uganda:
View attachment 1247831
Rwanda
View attachment 1247832
Karibuni tujadili sasa.
Wewe yaonekana wafanya kazi na Tanzania intelligence. Vipi kila siku uko hapa kuisifu nchi yako na kueneza propaganda kuhusu Kenya?
Tunaongelea facts hatuongelei propaganda kijana.Wewe yaonekana wafanya kazi na Tanzania intelligence,vipi Kila siku uko hapa kuisifu nchi yako na kueneza propaganda kuhusu Kenya?
Tunaongelea facts hatuongelei propaganda kijana.
Let talk about power cost per unit.
Yaonekana mwafanya kazi pamoja.Tunaongelea facts hatuongelei propaganda kijana.
Let talk about power cost per unit.
Naomba usikurupuke soma vizuri.Mara ya mwisho umeme nilileta screenshot humu unit moja tanzania ni tsh 350
Heheee, na mbona uchumi wetu unakaribia kuwa double ya Tz?Mnastahili hilo jina kutokana na kuwa na akili fupi zisizoangalia mbali.
Uchumi upi huo wa kwenye makaratasi πππHeheee,na mbona uchumi wetu unakaribia kuwa double ya Tz?
GDP (PPP) per capitaHeheee,na mbona uchumi wetu unakaribia kuwa double ya Tz?
GNI (PPP) per capitaHeheee,na mbona uchumi wetu unakaribia kuwa double ya Tz?
Okay, Japan wako na deni inayokaribia mara mbili zaidi ya GDP yao, pia tuseme uchumi wa Japan ni wa makaratasi?Uchumi upi huo wa kwenye makaratasi πππ
Uchumi usioweza kufanya chochote hadi mkope,
Uchumi unaotegemea misaada ya chakula,
Uchumi unaokopa deni ili ilipe deni,
Uchumi unaomilikiwa na wachache,
Jikite kwenye mada.
Uchumi wa nchi huangaliwa kupitia GDP,sio PPP. Ama una maana uchina ipo chini ya Norway in terms of economic power?
Unataka kujifananisha na Japan πππOkay, Japan wako na deni inayokaribia Mara mbili zaidi ya GDP yao,pia tuseme uchumi wa Japan ni wa makaratasi?