Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa👇.
IMG_20240319_080114.jpg
 
Nakuulizwa swali rahisi Hata mtoto wa darasa la 4 anajibu

Sgr ya Kenya ni electric ? Yes or no
Sgr ya Tanzania ni electric? Yes or no
Sgr Kenya = 3 million passengers
Sgr Tz = 0 passengers
njoo nikufunze jinsi ya kukata tikiti
FB_IMG_1710189113126.jpg
 
Back
Top Bottom