Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Leo bro Magu kanifurahisha sana akiwa anauzungumzia mradi wa pipeline ya mafuta tuliyowanyang'nya tonge mdomoni ndugu zetu wakenya. Kasema "... ilikuwa bomba lipite .... ila tulichokifanya ... ihiiiiiii... Mungu anajua". Miaka mingine mitano ya Magu na yule jamaa ataka-apdate kale kavideo kake kaGDP trends za EA.
 
Hiyo nuclear iko wapi ss mbn mnapenda kuongopewa ninyi watu, mnaweza ku afford gharama za nuclear? nyie subirini tuwauzie umeme wa bei rahisi muondokane na blackouts cz we are a Father of this region
Blackouts kw ajili ya maintanance ndio inakuumiza akili
Jiulize sai tangu ile ya mwiaho kutokea ni miezi mingapi watu hawajui blackout ni nn
 
Ukiangalia video ya Aug update 2020 from 143km bado ndio wanafanya earth work, from 175km to 201km Nimeona mabadiliko makubwa...from zero km to 20km bado kazi mingi haijakamilika....from 20 km to 70 km 100%Complete, from 70km to 136 km well done
Bado uzinsuzi mta postpone tena
 
Ila 0-20 km kuna mabadiliko overpass ya Kigogo (Kawawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao overpasses za Nkrumah na Bakhresa zitakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa maana pia Pugu tayari kuna tuta na drainage system! nafikiri by December hii maneno itakuwa tayari!
Hyo ni ishu ya 2021 geza
 
Hyo ni ishu ya 2021 geza

Reli itaisha vizuri tu.. tena ukizingatia kipande cha Moro-Dodoma ndo kirahisi na sehemu kubwa imeshafanyika, by 2022 tunaenda Dodoma na treni ya umeme.

Delays kwenye miradi ya miundombinu ni kitu cha kawaida, ukizingatia huu ni mradi wa design and build, ina maana challenges huwa zinakuwa tackled head on tofauti na ile ambayo design huwa inakamilika kabisa kabla ya kujenga.. mfano, mto ruvu ulikuwa very challenging, mpaka pamejengwa madaraja 10?
 
Pianikumbukwe. Timua Dar moro imesogezwa moro malotopora. Kwa kinapigwa mande kipande hiçho. Kitaisha ndani ya musa mfupi sana. Mahandaki ndio yalikuwa yanachelewesha kazinkuenda polepole
 
SGR Dar-Moro: the 2.5 km viaduct update...

MY TAKE
For those Kunyans who were arguing of our SGR not reaching Dar port, listen at 4.07-4.58, the Port link is well explained and branches out at 4km mark from Dar station!
Hiyo sehemu ya SGR ku branch out to port tulishajadili sana humu kwenye hii thread lakini kuna baadhi ya wabishi hawakutuelewa.
 
ni hatar mkuu hayo ndiyo mambo ya building & desgning tuliwapoteza maboya kidogo majirani....ila sasa wataelewa
 
Hiyo sehemu ya SGR ku branch out to port tulishajadili sana humu kwenye hii thread lakini kuna baadhi ya wabishi hawakutuelewa.
Kuna vichwa ngumu walitusumbua sana hapa. Hapo kwenye branching nilikuwa kila nikipaangalia sipaelewi kumbe jamaa wanajua wanachofanya. Kweli km 0 mpaka 20 ni korofi! Mpaka wahusika wenyewe wanakiri.

Hili ni funzo kwa miji yote mipya kama Dodoma. Poor planning na kuruhusu ujenzi holela kuna gharama kubwa sana. Hii kitu ikamilike watu wafunge midomo yao tuhamishie stori zetu Mwanza. Naisubiri kwa hamu design ya main station ya Mwanza. We shall kill people this time.
 
Back
Top Bottom