Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hua wako na ushindani wa kitoto sana, ngoja utaona next itakua wanauliza arrangement ya viti ndani ya jengo, au air condition vents zetu ni ngapi?
Wabongo wanashanganzwa na escalators wakati huku Kenya ziko hadi kwa MGR stations. This is Syiokimau station that serves the Nairobi commuter trains. It's much better than the stations in Tanzania.
syokimau.jpg
image61.jpg
image32.jpg
CRM.jpg
 
Shida ni kwamba mnajaribu kujitetea kwa kuchelewa kumaliza ujenzi, kubalini tu kwamba Yepi kaogelea nje ya beseni. SGR ya umeme si mara ya Kwanza kujengwa, Ethiopia wamejenga na walimaliza ndani ya mda ulioekwa, Kuna nchi nyengine kadhaa za Africa ambazo pia zimejenga ya umeme na hazikupitisha mda, So treni ya umeme sio issue!
Kama ya umeme sio issue, mbona nyinyi hamna?
 
SGR ya Kenya ni kama mtu aliyevaa koti jipya ila ndani kuna uvundo,mbu,inzi,kunguni,viroboto,chawa,tandu what else............hata nyoka inawezekana wanapatikana ndani ya hilo koti.Wanajikaza tu ila ipo siku watalivua... na sisi ndo tutawafanya walivue.
 
Yard capacity utilization at the ICD in Naivasha has hit 35 percent . The ICD has escalated operations currently receiving an average of three trains weekly carrying approximately 300 containers from one train when operations kicked off. Export volumes are also projected to rise with the port having handled twenty boxes carrying coffee from Uganda.


EbHxdkuU8AcGK1F


EbHxkYSUMAEFIwA

EbHxqMsUwAIW75c


Cheki Number plate ni ya DRC Congo! Isn't it cheaper for DRC to use Dar port?

EbHwrT3UYAgeIEn
Inategemea mzigo una kwenda Congo gani kama ni kaskazini Mombasa ni karibu kwa kupitia Uganda kama hujui jiography ya Congo
 
Stesheni huwa inapendezeshwa na miundombinu iliyowekwa kwenye hyo stesheni, ss stesheni ya Dar ina miundombinu ya kisasa zaidi kuliko stesheni za nairobi na Mombasa na ndiyo maana inaonekana kali
Asante kw kukubali km hilo jengo halivutii
 
Back
Top Bottom