Crane iko(wanaitaa TELESCOPIC BOOM RECOVERY CRANE) and kwa krc's website wanasema they've TAKEN DELIVERY of lakini haina rangi za Kenya railway hence my doubts. I too think iya wa china..Thanks for the answer.Hio rescue crane sijaiona huku kwetu, but kama iko, most likely itakua ni ya operator manake yeye ndo ako responsible for maintenance and repair ya track...
Simulator najua ni yetu manake part of the deal na China ilikua ni kwamba watatumia $100m ku transform Railway Training Institute ya Kenya Railways kukua fully fledge teaching center of excellence ambayo kila kitu cha railway engineering kitakua kinafundishwa hapo, itakua hakuna haja ya kutuma mtu yoyote nje ya nchi kusomea railway engineering ..