Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

SGR ya kenya behewa moja premium mengine yote unakalia ubao 😁
naona unafosi kukariri na hii pia jamaa wa HVAC 🤣
zipo classes tofauti kwenye treni,,, mfuko wako ndio utakaoongea.
 
Wajinga sana Wakenya! Walileta behewa hilo simply kwakua trains za Tanzania ziliwauma na ndio pekee linapostiwa huku kila kukicha wakati mradi wao unaendeshwa kwa hasara na bado wanafanya mambo kitoto.
mpuuzi sana wewe. ulitaka yafungwe mabehewa mangapi?
kwahio treni ya Kenya hufungwa behewa moja pekee na hakuna classes tofauti kulinganisha na mfuko wako?
hata mchongoko pia hufunga behewa moja la royal na mukiingia ndani nyote munakula korosho na chai rangi.
 
dah!
IMG_20241211_193717.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Oh! What a time to be alive!
IMG_20241211_193610.jpg

IMG_20241211_191509.jpg

GbRdD_KXIAAWRgX.jpeg
 
 
ubunifu = Zero
hata Kimbinyiko ina afadhali šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
IMG_20241212_204741.jpg
 
compare and contrast!
mwenye macho haambiwi 'tazama'
IMG_20241212_212658.jpg

IMG_20241212_212537.jpg


😁😁😁
IMG_20241211_193844.jpg

GMGjw6dXYAAOv_8.jpeg
 
🤣🤣🤣
IMG_20241213_104625.jpg

 
🤣🤣🤣 umeandika kiunyonge sana hadi unatia huruma.
Kinyonge kivipi sisi after boarding the train unapata breakfast asubuhi before you finish your breakfast and newspaper reading umeshafika. Nyie sasa breakfast lunch na dinner humohumo what's the difference na lunatic rail.
 
Back
Top Bottom