Yani seat zetu ni Bora hata za mabasi.mbingu na ardhi. tofauti ni kubwa sana....
View attachment 3140065
View attachment 3140064
View attachment 3140066
poleni sana 😁😁😁Sisi kama wananchi wa JMT tumeshapigwa.
Ma-coach hayazunguki halafu unachukua Masaa Nane Mombasa-Nairobi! 🤩🤩mbingu na ardhi. tofauti ni kubwa sana....
View attachment 3140065
View attachment 3140064
View attachment 3140066
sana tena sana tu 😁😁Hiyo ya kenya imekaa vizuri
Kweli hawawezi kuleta inayotumia mafuta ya taa na ambayo haina air conditioning system