Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
🙄🙄 unataka kuwaibia simu zao? nisiwai kusikia malalamishi ya simu kuibiwa au watu kupigwa ngeta 😁Kuna wale masista duu wa kupiga picha nje ya stesheni na vibegi kuwa wanasafiri ilikuposti kwenye insta zao
Nashangaa nikiingia ndani siwaoni, maana nakuwa napanga niwamendee tushuke wote