Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,866
- 103,718
- Thread starter
- #17,161
Jina langu tukufu na mambo niliyoandika yanahusianaje?😎Kweli wewe ni magonjwa mtambuka, na hayo magonjwa yameathiri ubongo wako,...
Kwani wewe na kaka yako BoniYai mlitakaje?😎kipya kinyemi 🤣
muache kukurupukaKwani wewe na kaka yako BoniYai mlitakaje?😎
Hii maneno inakuja kipindi kizuri sana yaani kipindi ca mtifuano wa jirani! Yaani na maandamano yaendelee kule mwaka mzima!Kwani wewe na kaka yako BoniYai mlitakaje?😎
Mbona nyie mnakurupuka kila siku?muache kukurupuka
wapi?Mbona nyie mnakurupuka kila siku?
kwenye ile SGR yenyu angalia vizuri huu mtungi ya chang'aa! 👇👇wapi?
Mfano wa haraka hii hii SGR.wapi?